JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,880
Huyu manzi kila siku ananipigia simu anataka aje nampotezea kwakuwa nakua na mambo mengi pia sina mzuka naye. Ila tatizo lake nikimuambia aje anakuja anakula shoo, akiondoka nampa nauli maybe elfu 40.
Ikija bodaboda anaanza ugomvi nimpe nauli ya bodaboda. Namuambia si nimekupa nauli hiyo si ulipe bodaboda? Anaanza kununa na kugoma anataka nimlipe bodaboda wakati mimi nimeshampa yeye nauli. Halafu kesho tena anaanza kunipigia masimu eti anataka kuja?