Niliyenaye simpendi ila naogopa kumuacha kwa kuwa anataka kunioa na umri umeenda

smoerishi

Member
Feb 12, 2020
14
75
Nipo kwenye mahusiano ambayo simpendi mtu niliyekuwa naye kwa matakwa yangu binafsi na wasiwasi kumuacha huenda nikakosa mwanaume wakunioa uko mbeleni.

Kiukweli kila akinitamkia kunioa sijisikii kabisa na wanaume naowapenda hawanitongozi na umri unaenda yaani sijui nifanyeje mwenzenu.
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
12,721
2,000
Hili ndio tatizo wanalokumbana nalo wanawake wengi,matokeo yake ukimkubalia huyo akuoe na mkishakuwa na watoto tayari,utaona sasa wale uliokuwa unawataka wewe ndio wanakuja tena kwa fujo,na hatimaye usipokuwa na msimamo utajikuta unaanza kuchepuka...
 

smoerishi

Member
Feb 12, 2020
14
75
Kwa iyo kama umpend na unataka akuoe plan yako n nn juu ya furaha ya maisha yake.. Au umeamua kumkera na kumboa kwenye ndoa mpaka atakapo atakapo aga dunia
Acha akatafute haki yake ya kupendwa na kupenda ww pambana na hali yako na aibu zako kulko kumfanya jamaa wa watu kama toi ambalo halijui thaman ya mda
Ni kweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom