Juzi kati wadau nilienda kwenye Harusi ya ndugu, sasa nilikabidhiwa gari niwaendeshe bridesmaids.
Katika harakati za hapa na pale nikiwa nimeshaopoa mmoja wakati ule binti akawa amenielewa balaa...
Kwa mara ya kwanza mimi nilipolala na aliyekuwa demu wangu usiku kucha yaani ilikuwa shida sana. Yaani nilikuwa kama dokta yupo na mgonjwa ICU.
Nakumbuka ilikuwa Moshi maeneo ya Ushirika wa...
JF members whatsup! Kuna vitu ambayo watu wa rika tofauti hupenda kuwa navyo wakishapata mafanikio au pesa...
Vijana huwa wakipata pesa cha kwanza wanachopendaga kununua huwa ni ndinga. Ili...
Wamama wa siku hizi wameshindwa kabisa kufundisha watoto wao wa kike kuheshimu waume zao.Unakuta binti kwa sababu umemuoa naameshakuzalia watoto na tayari ashakuzoea basi anakukosea heshima.
Sasa...
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia...
Ilibidi harusi ifanyike leo ila kutokana na bibi harusi kushinikiza vitu ambavyo vipo nje ya uwezo wa bwana harusi sherehe na ndoa vimeahirishwa. Bibi harusi amekataa Ukumbi (hauna hadhi), Keki ya...
huyu msichana nimemfatilia kwa mda mrefu sasa na amekuwa kama anakubali then baadae ananipotezea. so baada ya kumfuatilia sana anasema ana mtoto na jamaa mwingine na anasema kama ntakubaliana na...
Wakuu jana nimemkosea sana I swear sitofanya tena naomba namna nitavyoweza pata amani na jambo hili, jana nimekuja zangu mjini kutoka kituo changu cha kazi, naingia tu napigiwa simu na girlfriend...
" Wasichana nawahusia msikimbilie wanaume wenye hela mkawakataa wasio nazo na kuwadharau. Pesa zinatafutwa pendaneni saidianeni kufikia mafanikio. Pengine wewe ndio mwenye ule ufunguo wa yeye...
Kwanini Men ukiwa unasafiri mkoa mmoja kwenda mwengine na imetokea umekaa siti moja na Pisi/Manzi asilimia kubwa lazima utamtongoza either safarini au baada ya safari.
Mimi kuna Pisi moja...
Habari Wana JF.Kwa sasa mjini eti unaambiwa msingi pesa sio maujanja. Wanawake wakitaka kudate na mtu utaskia utaweza mziki wangu hela unazo au ndo tutazungushana.
Sasa huwa najiuliza na sisi...
Wanawake wenye marafiki wengi wa kiume wana furaha ukilinganisha na wale wenye marafiki wengi wa jinsia kama yao..!
Vice Versa pia wanaume wenye marafiki wengi wa kike wanafuraha ukilinganisha na...
Wanawake mnamambo ya ajabu kweli, yaani unachat na ke mwenzako alafu unamuita mpenzi, baby, my, honey na nk... nimekuta kwenye sim ya wife chat ya namna hii alafu naangalia jina ni la rafikie wa...
Utake usitake kuwa na mpenzi kuna Stress nyingi kuliko kuwa Hitman, mtu anaechakata akiwa na hamu baada ya hapo anafanya mambo yake,
Mi ni muumini wa mapenzi ya haina hiyo ya Pili Hitman, Sinaga...
Habarini za mchana huu wadau wa jamvi letu pendwabla MMU, natumaini mu wazima wa Afya na mnaendelea pilika pilika za kujitafutua ridhiki.
Asee kuandika udhibnahitaji mawazo na michangi yenu...
Wiki iliyopita ya Pasaka nilipewa taarifa na ndugu yangu sista alieolewa na muhindi, kwamba wanaomba msaada jumatatu saa6 usiku niwapeleke airport wanaelekea india, kwa sababu hawakua na gari...
Habari za muda huu Wakuu wa MMU, naandika kwa huzuni uzi huu kisa ni hiki.
Kaka wa rafiki yangu ni mwanajeshi kituo cha kazi ni Tabora, hana maelewano na ndugu zake yaani rafiki yangu pia na...
Jana nilitembelea mkoa x, Kanda ya pwani kwa ajili ya kuangalia fursa ya biashara nikafikia kwenye gest nzuri,ilikuwa mida ya saa 4 usiku, kutokana na uchovu wa safari si ku-concentrate sana kwa...
Habari za wakati huu members wenzangu.
Unaweza kukuta watu wanasema ni bora ukosee vyote katika maisha lakini si kukosea kuchagua mtu sahihi wa kuoa ama kuolewa naye.
Unaweza kukuta mimi...
Wakuu naomba niende kwa mada
Mimi ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya mzee kwa upande wa mama,japo mzee alikuwa na wake wanne.
Na mama ndo alikuwa mke wa kwanza.Japo mzee alishatangulia mbele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.