Tangu niwe na huyu babe sijawahi kutoboa

Gomegwa G

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
415
535
Habari za wakati huu wadau wa jukwaa la MMU? Naenda moja kwa moja kwenye lenho kuu la uzi huu.

Kuna mwanamke npo naye kwenye mahusiano mwaka wa tatu sasa, tangu nimekuwa naye mambo yangu mengi yaliharibika na yanaendelea kuharibika. Lakin yeye ni wa kunitakia kheri kwa kila kitu. Tena anafanya hata kunipa support ya kiuchumi ilimradi nipige hatua mbele.

Cha ajabu ni kwamba, kila napokuwa mbali na yeye kila kitu kinakuwa sawa mpaka kuna wakati najiuliza kama pengine ana mikosi, lakin kwa bahati nzuri au mbaya sijaamini kama kuna ukweli juu ya hilo swala.

Wadau, kama kuna mtu ana experience au ushuhuda juu ya hilo swala naomba uchangie chochote tafadhali.
 
Komaa !
-Tengeneza mipango mmbadala
-Punguza spending ambazo sio za msingi Kama Bata , outings, pombe nk
-tumia kuendana na Palo lako, sio unaingiza let's say 1000 kwa siku na ww matumizi yako Ni 1500 !
-kama unafanya biashara zingatia yafuatayo ;
Huenda pango Ni kubwa
Location sio nzuri
Poor customer care
Unaponunulia mzigo pengine unapigwa

! Siamini Kama Ni huyo mwanamke, siamini kwenye nuksi eti flani ana nuksi huyu ana bahati ! Tatzo Ni wewe jiangalie upya !

All the best
 
"Hakka huu ni ushauri bora wa Mwaka mkuu..... Ukisoama comment ya mchz kitalembwa.... Bla shaka utakuwa umeoata jbu la ushaur ambao ulkuwa unautafuta..... Trust me"
 
Komaa !
-Tengeneza mipango mmbadala
-Punguza spending ambazo sio za msingi Kama Bata , outings, pombe nk
-tumia kuendana na Palo lako, sio unaingiza let's say 1000 kwa siku na ww matumizi yako Ni 1500 !
-kama unafanya biashara zingatia yafuatayo ;
Huenda pango Ni kubwa
Location sio nzuri
Poor customer care
Unaponunulia mzigo pengine unapigwa

! Siamini Kama Ni huyo mwanamke, siamini kwenye nuksi eti flani ana nuksi huyu ana bahati ! Tatzo Ni wewe jiangalie upya !

All the best
Uko sawa mkuu, azingatie huu ushauri
 
Shukran sana mkuu. Ushauri wako ntaufanyia kazi
 
Ukiamini..Kwamba huyo Dada Ana mikosi Ina maana Wewe Unajitoa kwenye matatizo yako. Yaaani wengine ndo wanaharibu mambo yako... Wewe umejiangalia ndani yako Nini unafanya wapi unakosea wapi umekwama..

Ukianza kutafuta mchawi Kila ukikwama...utachukia Kila mtu kwani Kila mtu utamuona mbaya...sio Ndugu zako au wazazi wako.
 
Noted
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom