Mke anawatangazia wazazi wangu ubaya kwa wazazi wake

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Habari wakuu ushauri, mke wangu amekua akiwatangazia wazazi wangu ubaya na ufitini kwa wazazi wake hasa mama yake pindi anapokua anarekebishwa na kushauriwa na wazazi wangu anapokua hayuko sawa. Sasa amekua maneno anayapeleka kwa mama yake kwa ubaya Yale anayoshauriwa ama kunasihiwa na wazazi wangu pia mke wangu na mama yake wamekua wanajadili na ndugu zao hao hao ndugu wanatuletea hizo taarifa ambazo kiukweli tulijadili wenyewe tu. Baba mkwe wangu Hana taarifa zozote za hayo mwanae na mkewe wanayoyatangaza kwa kwa ubaya kwa ndugu zao juu ya yale mwanao amekua akishauriwa ktk maisha

Wakuu nin nikifanye kwa mke wa namna hii anaowatangazia wazazi wangu ubaya kwa mama yake na mama yake anayabeba kuwatangazia ndgu zake Kisha ndgu hao hao wanatuambia. Hali ya kuwa mwanae ambae ni mke wangu anashauri mambo mema kabisa Tena ya kujenga familia na mke wangu amekua ni mtu mwenye majibu ya kujiamini yenye dharau pindi ninapotaka mrekebisha au kutaka ufafanuzi wajambo flani pia imekua ni mtu kuwahadhithia sana hasa mama yake mapungufu ya wazazi wangu Tena kwa ubaya.

Ushauri wenu wakuu juu ya mke huyu.
 

Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,502
2,000
Madhara ya kulea na kuendekeza umbea..mambo yaki-backfire upande wako kila mtu utamuona snitch. Mmezoeshana hiyo tabia sasa tulia unyolewe ndio zamu yako.
 

Lusungilo

Member
Jun 14, 2019
31
125
Mke wako anatakiwa kurekebishwa na wewe mwenyewe na sio wazazi. Na msipende kupeleka peleka matatizo yenu kwa wazazi muyamalize wenyewe
 

Syapatale

Senior Member
Mar 10, 2020
108
250
Unaonekana unasikiliza Kila unachoambiwa na mama yako,si umuoe mama yako,huyo mama ako anamuonya mke wako Kwan wewe umekufa???? Sipendi ndoa ya kuendeshwa na wazazi basi tuuuuuu
 

Mr Devil

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
4,028
2,000
Una itaji viboko vi tatu vikaliii .pia mkeo ana itaji viboko vinne vikaliii
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Ndoa yenu itakufa msipo kuwa makini, Mambo yenu kwanini mupeleke kwa wazazi, Tena wewe mwanaume ndio hujielewi kabisa
Mkuu wala hatupeleki kwa wazazi niwazazi tu wanapokua wanamtembelea mkwe wao Sasa tkt maongezi niushaur tu anapewa Kama ambovo ww wazazi wako wakutembelee kwako kwa dk kadhaa Kisha muongee tu mambo yakimaisha wakunasihi Kama mtoto wao
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Madhara ya kulea na kuendekeza umbea..mambo yaki-backfire upande wako kila mtu utamuona snitch. Mmezoeshana hiyo tabia sasa tulia unyolewe ndio zamu yako.
Mkuu wala hatujazoeshana nikatabia flani ambako kapo kwa wife najaribu namna yakukazuia
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Mke wako anatakiwa kurekebishwa na wewe mwenyewe na sio wazazi. Na msipende kupeleka peleka matatizo yenu kwa wazazi muyamalize wenyewe
Mkuu hatujapeleka matatizo kwa wazazi Ila matatizo ya mkwe wao yanawafikia kupitia ndgu za mke wangu hasa mama yake anakua kaambiwa namwanae Kisha mama kuwaambia ndgu hao ambao wao ukiangalia kiundani Zaid nikweli wife anakua kayatamka haswa maana hakuna mtu tofaut nayeye
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Unaonekana unasikiliza Kila unachoambiwa na mama yako,si umuoe mama yako,huyo mama ako anamuonya mke wako Kwan wewe umekufa???? Sipendi ndoa ya kuendeshwa na wazazi basi tuuuuuu
Mkuu haiendeshwi nawazazi mkuu hivi Jambo umejadili namkeo Kisha Jambo Hilo Hilo unalikuta likijadiliwa na ndgu zake mpaka unaaambiwa ww ambae ukiangalia Jambo Hilo Hilo umejadili ww tunamkeo Kisha baada yawiki unaliskia kwa ndgu wa ndani mke Jambo ambalo mlijadili wawili
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Ndugu wa mkeo atoke huko

Aje kukueleza maneno ambayo mkeo kamwambia mama yake


Kuna walakini mahala

Mnaanzia wapi??????


Halafu maswala yenu wewe na mkeo wazazi wako wameyajuaje???
Mkuu nifamilia ambazo mko kitongoji kimoja mke aweza pita tu kwao kusalia kwa mda akiwa anaenda hata sokoni pia aweza pita hata kwa ndgu yake kusalimia kwa mda akiwa anaenda msibani au ktkt harus yaan mnakaa kitongoji kimoja
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Mke wako anatakiwa kurekebishwa na wewe mwenyewe na sio wazazi. Na msipende kupeleka peleka matatizo yenu kwa wazazi muyamalize wenyewe
Mkuu hakuna anaepeleka matatizo kwa wazazi Ila nimtu mnaokaa kata moja amabayo familia zenu ziko ktk kata hiyo Kias kwamba ww mke kwenda kupita kwenu kusalimu ukiwa unaenda kwenye mambo yako nidk kadhaa tu kwa mguu imefika hapo kwenu ukasalimu kidgo ukazungumza namengne namzazi wako Kisha ukaendelea nasafar zako Sasa Yale uliozungumza namzazi wako yanamfikia mume ambayo kiundani nikweli hakuna anaeweza yazungumza tofaut nahuyo mkeo ndie anaeyajua tu Sasa unapata picha kuwa kamuhadithia mama yake Kisha mama yake kahadithia ndgu zake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom