zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
Habari wakuu! Nimetafakari sana kabla ya kudondosha thread hii.
Huwa ukiwauliza watu walioko kwenye mahusiano Wanaume watakwambia mimi tulisoma chuo pamoja nikatokea kumpenda nikamtongoza akanikubalia hatimaye tuka oana.
Na mwanamke atakwambia yeye ndiye aliyenitongoza na mimi nikatokea kumpenda nikamkubalia tukaoana.
Haiwezi tokea hata mtu mmekutana na mkazoeana na kupendana bila kutongozana.
Halafu eti ni lazima mwanaume ndo amtongoze mwanamke.
Swali la kizushi: Hivi wanawake wapo ambao nao wanawatongoza wavulana. Na ikitokea hivyo itaonekana ni jambo la kawaida au kutakuwa na mitazamo hasi katika jamii kwa mwanamke kutongoza.
Hakuna Love Stories kama Wahindi
Umemsaidia mtu kwenye ajali kakupenda tayari [emoji23]
Umemuokoa na genge la wahuni kakupenda tayari