Mapenzi yameisha lakini bado unampenda, ikifika hatua hiyo huwa unachukua hatua gani?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Katika mapenzi siku zote kuna huwa unafikia unaona kabisa mapenzi yamekwisha kabisaa
Hebu Fikiria inafika hatua mpenzi wako

1. Hakupigi simu mpaka umpigie na hata akikupigia anakusalimia tuu nothing more.

2.Na hata ukimpigia simu mkiongea hakuchangamki kama mwanzo yaani story za hapa na pale mnacheka na kufurahi.

3. Hakushirikishi Katika mambo yake anayoyafanya kama zamani unamuona mambo yake anafanya kimya kimya hataki wewe ujue.

4. Mpenzi wako anapoteza hisia za kimapenzi na wewe Yale majinq kama vile bby,Switi heart, love, my dear hakuiti tena

Ikishafikia hatua hii tunasema mapenzi yameisha hata ukijaribu kuongea nae anakwambia Hana tatizo na wewe na hata ukichunguza unagundua Hana mtu Ila tuu basi amepunguza tuu mapenzi kwako

Ni nini cha kufanya hatua kuchukua
 
Na wewe shika time yako focus kwenye vitu vinakupa furaha, huwezi kukaa utegemee furaha yako kutoka kwa mtu mwingine
 
Kuwa bize na Mambo yatayokufanya uwe na furaha na unafanya kinyume Cha hayo anayofanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom