Nasiche
JF-Expert Member
- Jun 18, 2019
- 291
- 735
Habari za kazi Wana JF,
Naomba kuuliza. Nasikiaga wanaume wengi mkisema mke anauma sana, naomba kujua kivipi.
Kwa mfano:
Utakuta mtu anagombana sana na mke wake na kuonyesha kutokumjali kabisa pamoja na kumpigia lakini huyo mwanamke akijaribu kumpima Imani mume wake mfano aseme naondoka naenda kwa mwanaume wa kunipa furaha, au amwambie kuna waliokuzidi, au nina mtu wangu wanaume yule yule aliyekuwa mbogo lazima aingiwe tena na wivu na hasira zaidi.
Sasa najiuliza mtu yuleyule uliemwita mjinga mara hana shape, hana sura mbaya, malaya, unajuta kuwa naye akijibu tu mapigo mbona huwa mnaumia, mtu ambaye ushasema unajuta kuwa naye mbona tena anakuumiza.