Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

WRITTEN IN BLOOD I act this spell upon you From my whole heart Wishing you to never rest No eat no sleep the rest part of your life I hope your will waste away And I hope you will never spend...
21 Reactions
254 Replies
59K Views
Mimi sillent killer 2 ni mwana JF pekee ninae tumia simu kitochi kuperuzi jamiiforum.hata wakati jf ilipofungiwa nilikuwa naperuzi bila shida yoyote lakn kuna jamaa angu mmoja mpaka atumie vpn ndo...
4 Reactions
36 Replies
431 Views
Mwanangu hata sijui uko wapi kama uko hai ama vipi, na haya masekeseke yaliyotokea , tuliachana ulikua kwenye harakati za uchimbaji madini mgodi wa mwime kahama ulikua unapambana kweli kutafuta...
6 Reactions
9 Replies
294 Views
Habari, mimi ni binti nina miaka 23, nimekuwa mpweke sana nahitaji rafiki wa kiume wa kubadilishana naye mawazo, kupeana kampani n.k Sifa zangu. Najishughulisha Mpole Siyo muongeaji sana...
21 Reactions
203 Replies
8K Views
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 31, nimeoa na nina watoto wawili. Kwetu tumezaliwa watoto saba, Mimi ni watatu kuzaliwa. Dada Iko hivi, Kuna mdogo wetu wa kike kaolewa na jamaa tajiri sana...
7 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio. Yeye akija kwangu hata kufanya...
14 Reactions
62 Replies
2K Views
Utakutana na scenario mbili 1. Familia yao Wana tabia flani mbaya hasa wakweo mfano tabia za kinyonyaji na kuendelea umasikini. 2.Matatizo ya uzazi. Na vizazi hatakama utabahatika kuyest...
2 Reactions
10 Replies
298 Views
Wasalaam wakuu na waungwana wote, kheri kheri TANGANYIKA nchi yetu.... miaka kadhaa nyuma kuna bro mmoja alikuwa anapga sn hela kwa kutengeneza kitu fulan ksha anawapa vijana kwenda kuuza...
3 Reactions
5 Replies
236 Views
Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo: 1.sihitaji malipo 2.baada ya kushika mimba...
5 Reactions
18 Replies
399 Views
Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana. Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee Kuna muda naona...
22 Reactions
63 Replies
2K Views
Dini yangu Muslim Makazi dsm Mwanamke nimtakaye awe anaishi dar Asiwe mwanamke wa mambo mengi Asiwe na mtoto.
1 Reactions
8 Replies
205 Views
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana. Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao. Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa...
23 Reactions
118 Replies
2K Views
Fanya research mda kuhondomola na shemela wenu umefika.... Kwa nn wanawake wengi wakiolewa wanaume wanajifsnya ndio wanawaona yaan utashangaa kila kona ukimwacha mkeo dist kidogo unasikia psii...
5 Reactions
24 Replies
497 Views
NB, sihamasishi ununuaji ila nataka kushare kauri ambazo nimeshawahi kuzisikia sehemu fulanifulani hapa bongo. 1. Wewe mkaka handsome 2. Yangu haina maji 3. Yangu tamuu njoo 4. Unavua nguo zote...
18 Reactions
68 Replies
2K Views
Happy new year 2026 MMU. Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu...
3 Reactions
44 Replies
818 Views
Wakuu, moyo unavuja damu, sielewi nifanye nini! Iko hivi - Baba ameshaondoka nyumbani muda mrefu, tunaishi na mama tu nyumbani. Suala la baba kuondoka nyumbani si tatizo tatizo linakuja pale...
3 Reactions
18 Replies
504 Views
Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena. Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana. Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye...
7 Reactions
26 Replies
559 Views
Vijana wa kiume, sikilizeni kwa makini. Hamna haki wala uhalali wa kujiingiza katika tendo la ndoa bila kinga na mwanamke ambaye bado hujakutana na wazazi wake, hujazungumza kwa dhati kuhusu...
3 Reactions
2 Replies
240 Views
Happy birthday
19 Reactions
97 Replies
1K Views
Back
Top Bottom