Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 31, nimeoa na nina watoto wawili.
Kwetu tumezaliwa watoto saba, Mimi ni watatu kuzaliwa.
Dada Iko hivi, Kuna mdogo wetu wa kike kaolewa na jamaa tajiri sana...
Habari za muda wadau, nimekaa nikiwa nafikiria sasa naona niseme tu haya mambo yanayonisibu. Kuna mwanamke ninae as nina date nae ila naona tabia zake kama sio.
Yeye akija kwangu hata kufanya...
Utakutana na scenario mbili
1. Familia yao Wana tabia flani mbaya hasa wakweo mfano tabia za kinyonyaji na kuendelea umasikini.
2.Matatizo ya uzazi. Na vizazi hatakama utabahatika kuyest...
Wasalaam wakuu na waungwana wote, kheri kheri TANGANYIKA nchi yetu....
miaka kadhaa nyuma kuna bro mmoja alikuwa anapga sn hela kwa kutengeneza kitu fulan ksha anawapa vijana kwenda kuuza...
Huu ni ujumbe kwa mwanamke ambae kapimwa ni mzima lakini hashiki mimba,pengine mwanaume wake ana dosari basi aje mimi ntamsaidia,kwa masharti yafuatayo:
1.sihitaji malipo
2.baada ya kushika mimba...
Tupeane matukio na Kuona namna ya kuhakikisha zinadumu daima mpaka kuzikana.
Binafsi Nina miaka zaidi ya 20 kwenye ndoa na Nina 45yrs. Nina watoto kadhaa. Kyra, vivi na shaykee
Kuna muda naona...
Leo ni mekumbuka enzi nzangu ni kipindi ni kiwa kijana.
Nilimpata binti mmoja ambaye ujana wangu sikuwa na mda wa kumpa kama wafanyao wapendanao.
Ilifikia tuka tengana naye mikoa tofauti kabisa...
Fanya research mda kuhondomola na shemela wenu umefika....
Kwa nn wanawake wengi wakiolewa wanaume wanajifsnya ndio wanawaona yaan utashangaa kila kona ukimwacha mkeo dist kidogo unasikia psii...
Happy new year 2026 MMU.
Kuna binti wa ki-islamu nimefikiria nianze kufanya mchakato wa kufikisha taarifa kwa wazazi wake kuhusu nia ya kutaka kumuoa binti yao. Hii ni baada ya penzi la mtu...
Wakuu, moyo unavuja damu, sielewi nifanye nini! Iko hivi - Baba ameshaondoka nyumbani muda mrefu, tunaishi na mama tu nyumbani.
Suala la baba kuondoka nyumbani si tatizo tatizo linakuja pale...
Ukweli mchungu ila ndo hivyo tena.
Kama kijana wa kiume unataka kujitafuta na kuepuka mengine.Mwanamke mwenye muonekano wa mbele za wanaume ogopa sana.
Leo jumapili dogo wa maviatu yale yenye...
Vijana wa kiume, sikilizeni kwa makini.
Hamna haki wala uhalali wa kujiingiza katika tendo la ndoa bila kinga na mwanamke ambaye bado hujakutana na wazazi wake, hujazungumza kwa dhati kuhusu...
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba...
Nawaza je siku hiyo mke WANGU atajua sijaoa jinsia yake ya kike Wala hajaolewa na umbile langu la kiume? Je atajua umri wangu na wake si kiini chetu, Wala uzuri wake si nguzo yangu ya kudumu...
Hivi kusah ameshindwa kupeka moto mbona hivi? Watu tunapiga bao hadi sita afu anatokea mtu anasema kwenye ndoa ni moja tu, itoshe kusema kwamba wanaume wa dar hakuna lolote.
Huyu Aunt ivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.