Holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 8,706
- 19,657
Kuna watu wa ajabu sana hapa duniani, yaani unamkuta mkeo kitandani kwako tena 'kainamishwa' jambo ambalo wewe hukuwahi kulifanya, unapiga magoti unaanza kukemea mapepo eti ndiyo yamemsababishia mkeo kulalwa nje ya ndoa. hii ni akili ama matope?