Kuishi single ni raha

Kuishi single ni raha

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,913
Reaction score
3,737
Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh

Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem.

Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani
 
Nipo single lakini ,sikubaliani unachosema... Inabidi tutoke huku kwenye hiki kifungo . Mungu atufanyie wepesi
 
Yan husumbuan na yeyote.Ni bata tuh

Yaan hakuna unayemuaz,hakuna stress ni raha jaman,na hufi mapem.

Ila wenye ndoa na mahusiano na wahurumia jamani
hii vita uliyoianzisha sioni ukishinda, ngoja waliopo kwenye ndoa wamalize kuosha vyombo hasira zao zote watakuja nazo hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom