Nipo safarini Dar nimepata hotel moja mitaa ya Kinondoni, Tangu saa saba usiku kuna vurugu zinaendelea chumba cha pili Mmwanamke kavua zote kasoro chupi anasema hata iweje hiyo havui na kama jamaa...
Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na...
Maisha ya Lumumba yamebadilika huku ikisemwa mkewe wa zamani anataka warudiane.
Waziri wa michezo wa nchi ya Jamuhuri ya kidemokrasia Kongo, Didier Budimbu Ntubuanga amemtembelea shabiki wa...
Huyu dada kaleta tamaa sana leo, tulishaelewana kua akifika kwenye bustani yangu atacheza kwenye mti/shina tuu lakini hatagusa mengine.
Dada huyu wa kienyeji anaesomea course ya sekretari ameleta...
1. Je,unamkumbuka mwanamke/mwanaume ambaye bado unatamani urudie mechi? 2. Kwa nini unataka kurudia mechi nae ? 3. Unakipi cha kumwambia? Kwa upande wangu namkumbuka mke wangu niliyelala nae...
Habari wanajamvi?
Ni ukweli usiopingika kuwa wanaume wanaoongoza kwa kuoa kwa sasa ni wanajeshi.(wadada tuko pamoja)
Nasema hivi kwasababu gani?
-Wanajeshi hawachagui huyu mwanamke kasoma au...
Wakuu, jumanne ya wiki hii nilifanikiwa kumpeleka gheto demu niliyemsotea kwa muda mrefu,lakini baada ya kufika gheto,tuliongea sana,baadae nikamwomba tunda akasema hayuko sawa, nikamuacha akasema...
Nilikuwa nasikia tu mambo ya mabinti wa Tanga wanavyojua kubembeleza wanaume sasa ndio nmeamin maana hivo visanga ninavyopewa na huyu binti nimebaki kucheka cheka tu mpaka nimehamia kwake kutoka...
Wakuu mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu wote.
Aisee wakati nipo advance nilipata binti mmoja WA kinyiramba na tulipotezana baada ya Mimi kuhitimu advance nikaenda mkoa mwingine.
Ilipita miaka...
Endapo Umeamua kwenda kulewa pombe pamoja na Malaya uliemchagua , jitahidi Sana:-
1. Usiende kulewa na Malaya maeneo ambayo Ni jirani na kwako au sehemu unakofahamika Sana.
2. Hakikisha umekula...
Nimeamua kuacha kazi na kuingia kwenye udalali huku bosi akinisaka na polisi Mbosso alisema mapenzi Gharama? Ufisi Gharama zaiiidi. Hii haikua kwa kupenda kwangu bali ni tamaa ya kupenda Uchi na...
Mtu unafumaniwa na meseji ulizochati na mtu au mumeo anakuta namba mpya ambayo unawasiliana nayo kila mara hadi anaanza kuitilia mashaka. Umechati na mtu mmemaliza kwanini usifute hizo meseji au...
Bila shaka jibu litakuwa "NDIO" kama ni hivyo unapaswa kutulia haswa, zile fujo unazosikia ndani yako zinapaswa kutulizwa na kusikia shwari ndani yako.
Fujo hizo zitatulizwa na Mungu mwenyewe...
Polen na majukumu ya kila siku
mimi ni kijana wa miaka 23 na bado nipo kimasomo katika chuo flani cha elimu ya juu ila nahitaji kuwa na mtoto m1 na hii nikutokana na shinikizo la mama kuniambia...
Hii ni special kwa wanaume wajinga wajinga wasio jielewa wale familia yake inaendeshwa na mke wake.
Hawa mara nyingi sana husema mwanamke kama anataka kukuchiti atachit tu hata kama umchunge...
Ama kweli mshika kumi, kenda humponyoka.
Leo ndio nimejua ni maumivu kiasi gani mwanaume hupata pale mchepuko wake mtiifu akiolewa.
Niko home nasikiliza ngoma ya mapacha watatu ya "kuachwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.