My Ex Wife anateseka sana, nifanyeje?

Hayo mambo hayakuhusu unajipa mizigo mwenyewe usikute hata yeye hakuwazi

Anayekuhusu Ni mwanao huyo ndio ndugu yako wa damu

Acha kimbelembele
Mkuu najua,ila unajua tangu nipewe taarifa najaribu kuignore ila kama linazidi kusogea mbele zaidi.Natamani kupotezea ila ndo kama linazidi kuzama na kuniumiza
 
Mtu anatumia kilicho shindikana wakati wake kwa matatizo ayapatayo hasimu wake leo kwa mwingine...

Ni kukoswa akili tu..

Wewe unadhani ndio the best person on this world sababu tu huyo aliekuacha anapata matatizo sasa hivi?

Ungekua the best kama unavyojifaragua hapa huyo mwanamke asingekuacha to begin with...

Kuna sababu kwanini alikuacha,na funny enough huenda ikawa sababu tofauti kabisa na hii uliyotoa hapa wewe,maana hii ni wewe umeona kwa macho yako ila muhusika huenda akawa na other reasons contrary to wewe!

Acheni kujiona wa maana sababu fulani aliekukataa anapitia mitihani yake....no,you are not,you are just lame ass motherfvcker like the rest of all of us!
 
You may be right.But why do I feel obligated.Is it because she left for another man?How can I get over that?It is not about me being perfect it is about her info affecting me and how to deal with that.
 
"Wema ndiyo uliomponza" Alisikika mama mmoja akisema maneno hayo.
Kaa utulie yasijekukukuta usiyoyastahili. Kama mwenyewe hajaona haja ya kuondoka kwenye vipigo na manyanyaso, wewe unataka kumuondoa huko ili iweje????????
 
We ni mwanaume, lakini una moyo wa kike. Mtu ambaye ametaka mwenyewe kuachana na wewe, na kwenda kwa mwingine, ambaye pamoja na manyanyaso yote lakini bado hataki kuondoka kwenye mahusiano hayo, then wewe ndio umuonee huruma kuliko yeye mwenyewe kujionea huruma?

Nikwambie tu, hiyo ni difence mechanism inakufanya ujisikie unamuonea huruma, but in reality bado unampenda na huelewi imekuwaje pamoja na wema na mapenzi yote uliyompau, but amekuacha na kwenda kwa huyo anayemnyanyasa.

Acha kumfikiria, angalia maisha yako na familia yako, usipokuwa makini unaweza kujikuta unashindwa kukaa na mkeo, huku huyo unayesema ananyanyasika akiendelea kudumu kwenye ndoa yake.
 
Una mwaswali ya kitoto kichwani mwako, kuwa unaumia unajiuliza je nampenda so what kama unampenda unatuulizaje sisi hayo maswali? , listen brother unataka kumtoa kwenye mahusiano yake umpeleke wapi kwa mfano wakati una mchumba tayari pia,
 
Don't focus on what you don't want...

Ukipendi ktu usiwe unakiwazia automatic huwa kinaondoka....Sasa hupendi hcho kitu alafu unakiwazia afu uzuri unamke mwengne unapata wapi muda wa kufikiria huo ujinga badala ya mkeo wa Sasa...

Ata Mungu mwenyewe hawezi kumuhurumia mtu asie jihurumia yeye mwenyewe....wewe nani leo ujifanye unahuruma kiasi hcho,unachokitafuta utakipata mkuu....
 
Una mwaswali ya kitoto kichwani mwako, kuwa unaumia unajiuliza je nampenda so what kama unampenda unatuulizaje sisi hayo maswali? , listen brother unataka kumtoa kwenye mahusiano yake umpeleke wapi kwa mfano wakati una mchumba tayari pia,
The truth is sitaki kujihusisha but the battle within me is getting serious and it is affecting me.SO How do I get over that?
 
Back
Top Bottom