Madhara ya kutofanya tendo la ndoa muda mrefu

KITAULO

JF-Expert Member
Apr 27, 2018
1,926
2,777
Habari zenu,

Nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:

• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo
• Kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,
• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu) 😆 😆 😆
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini katika kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k. Install Application ya

Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
 
Dokta izi taarifa mbona hujaweka source ? Usiokokote tu mahala na kutuletea humu unatupa kazi ku cite source
 
"Mbona watawa, mapadri, masista hawana hizo tabia?"
Alisikika mwanaJf mmoja akihoji..
 
Habari zenu,

Nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya:

• Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo
• Kupendelea sana kuangalia picha za uchi,
• Kusahausahau,
• Kupendelea story za mapenzi,
• Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke),
• Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo
yasiyokuhusu) ,
• Kuumwa na kichwa,
• Kukakamaa mgongo (wanaume),
• Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba,
• Kupoteza umakini katika kazi (efficiency),
• Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno,
• Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala kama ulevi n.k. Install Application ya

Udaku Special Uweze Pata Habari Kirahisi Zaidi
Dah...muda mrefu huanzia wapi...1hr?..1day?..1month?....1year? 1decade?
 
  • Thanks
Reactions: bbc

Similar Discussions

Back
Top Bottom