Lengo la mwanaume kumpendezesha mke

Lengo la mwanaume kumpendezesha mke

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,355
Reaction score
2,261
Baadhi ya wanaume tunalaumiwa kushindwa kuwapendezesha wake zetu lakini kwa nini hasa maana akipendeza wababe wanamtamani wanamshawishi wanammega. Usipompendezesha wababe wanampendezesha kisha wanammega vilevile.
 
Dada mmoja kwa asili yake yeye ni mweupe sana. Sijui kadanganyika nini kaenda kutumia madawa ya kuongeza weupe labda akitaka awe kama mzungu! Sasa hivi ni mwendo wa kuvaa majuba na mamitandio makuubwa maana kaharibika ngozi vibaya sana. Hata kama ni mwanaume ndio alimshawishi kwavyovyote atakua kashamkimbia🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Baadhi ya wanaume tunalaumiwa kushindwa kuwapendezesha wake zetu lakini kwa nini hasa maana akipendeza wababe wanamtamani wanamshawishi wanammega. Usipompendezesha wababe wanampendezesha kisha wanammega vilevile.
What is ur point
 
Do what u can, the rest leave it to the nature
 
...mwili wa mwanamke wote ni uchi isipokuwa viganja vyake vya mkono...

...mwili wa mwanamke ni pambo,haistahili kuliona yoyote isipokuwa mumewe tu..

hivyo atakapo mwanamke ktk nyumba yake kwenda matembezoni basi ajifunike na jilabibi mwili mzima isipokua macho tu kwaajili ya kuongea... wala asijipulizie manukato na kuvaa nguo yenye naksinaksi itakayo leta ushawishi kwa wanaume...

Kwa kufanya hvyo hupelekea kuogopwa na kuheshimika....

Ila leo hii mke akijua leo anamtoko ata wa kwenda sokoni atakavyo jipara na kuvaa kinguo kinaonesha mabonde na milima,mito na asali...hv kweli wahuni watamuacha..
 
Baadhi ya wanaume tunalaumiwa kushindwa kuwapendezesha wake zetu lakini kwa nini hasa maana akipendeza wababe wanamtamani wanamshawishi wanammega. Usipompendezesha wababe wanampendezesha kisha wanammega vilevile.
Ww umekuja kujenga taharuki tu

Kama unaona yote hayafai we kaa peke yako

Tuachie wenye mioyo migumu ya kenge
 
Back
Top Bottom