Leo tutaje zile moment tunazo zifurahia/tusizo zifurahia kwenye Mapenzi/Mahusiano

zagarinojo

JF-Expert Member
Jul 26, 2020
2,622
2,835
Wana MMU newz zenu.

Muondoe stress kidogo! Halafu sasa ujue mapenzi yana ndumila kuwili sana yaani yana nyakati/moments za kufurahisha na zisizofurahisha..

Sasa leo semeni zote zinazofurahisha na zile zisizofurahisha kwenye mahusiano au mapenzi. Aisee! Hakuna moment nzuri Kama Una girlfriend pisi kali kweli alafu na marafiki nao wanatambua hata ukimtambulisha unajivunia kwelikweli yaani hakuna anayemponda ila sasa uwe na yule unaogopa hata kuwaambia marafiki coz unajua watamponda. Noma Sana.

Moment nzuri nyingine ni pale unapo tambua msweet ni mkali alafu kakukubali mwenyewe kinoma hapo huwa hutumii nguvu nyingi kum approach unajichomeka tu tayari.

Zipo nyingi Ila niwaachie nyie wadau mzitaje hapa.

The Good Moments bila kusahau zile Bad Moments Nazo
 
Hakuna moment mbaya kama kutambulisha mwanaume mwenye kitambi kwa mashosti ambao kila siku unaponda wenye vitambi
Mwenyekiti wa chama cha wanaume wenye vitambi Tanzania uko wapi? Toa tamko kanyifu
 
Kujamba usiku ukiwa umelala na mpenzi wako, au kuongea mambo yasioeleweka ukiwa umelala na mpenzi wako.
 
Kwa upande wangu siwezi ogopa kumtamblisha mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda hata awe yupoje,, siwezi kufanya kitu kwa ajili ya marafiki au watu eti kisa watajaji vipi.

Nimempenda kwa ajili yangu sio kwaajili ya maonyesho ya watu.
 
Zile moments nambeba kukiwa na dim light kumpeleka kitanda baada ya kunywa mvinyoo kidogo,yaan mwenyew anakir kuwa nmemuwezea,hata tukiachana anaanza kunitafuta kwa kukumbuka izo events
 
Back
Top Bottom