Pasipo upendo hakuna cha future wala maisha katika mahusiano

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kwa wale vijana wenzangu mliopo ndani ya mahusiano ukiona katika mahusiano yako hakuna upendo tambua ya kwamba hapo hakuna cha future wala maisha

Unapoona mwenza wako amefikia hatua upendo wake umepungua kwako na siku zinavyozidi kusonga mbele upendo hakuna tambua hapo hakuna tena maisha ya badae na ukiendelea kung’ang’ania utajiumiza hivyo basi unapoona. Dalili zote huna Amani na hayo mahusiano fanya ampango uleft mapema usije ukajidanyanya

Atabadilika, yataisha au tutaseameana ukajipa moyo anakupenda ukajipa moyo huyu ndo my future wife, housband, unajidanya

Kwa yalinikuta mimi nimeshajifunza
 
Ukiona haeleweki unajiongeza kabla ya makubwa zaidi....tatizo wengi wanalialia na kulalamika wakati wanapolalamikia hakuna upendo.
 
Future mbali sana, we enjoy hii present continous inatosha mkuu
 
Haah!kwa hili siamini,kama mlideep down sanaaa kuna kipnd kila mmoja anatamani uwepo wa mwenzie,ikifikaia mmezimaliza ups&down mlizokuwa nazo tena upendo unaweza kuzid mliokuwa nao b4,ila itoshe kusema inategemea na sababu au uzito wa kosa ambalo limewafanya mkakosana
 
Kwa sasa inaonekana vijana wakiume wengi wanalialia wameachwa shida iko wap
 
Back
Top Bottom