Hamjambo?

Hamjambo?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Nawatakia jumapili njema wote.. wanaohutaji kuoa na kuolewa Mungu awatokee leo jumalili na walio oa na kuolewa Mungu awape furaha, upendo na amani kwenye ndia zenu.
 
Maisha Yanakwenda Kasi
Yamekuwa Ya Hovyo Sana Mpaka Unashangaa
Kuna Dada Kaolewa Ana Watoto 2
Kajengewa Nyumba Nzuri Na Mumewe
Ila Tangu Ajifungue Huyu Mtoto Wa Pili
Kumetokea Sintofahamu
Mume Anasema Mtoto Siyo Wake
Yaani Muda Wote Huo Hajaguswa Na Mumewe
Wengine Wanawaza Maisha Ni Nyumba Na Vitu, Wengine Wanawaza Maisha Ni Peace Of Mind Bila Kujari Una Nini

Mke Anasema Mtoto Akifikisha Miezi Sita Anarudi Kwao Arusha Kuanza Maisha Yake Mapya
Mke Ana Elimu Kiwango Cha Masters
 
Heri tu nijikalie zangu busy nijitafutie zangu ile kengele ya tani moja
 
Nawatakia jumapili njema wote.. wanaohutaji kuoa na kuolewa Mungu awatokee leo jumalili na walio oa na kuolewa Mungu awape furaha, upendo na amani kwenye ndia zenu.
Dogo, hiyo Avatar yako watu wanajua wewe ni Totoz, badili bana.
 
Amani kwenye ndia zenu..😂😂
Ndia ndo Nini..?
 
Nawatakia jumapili njema wote.. wanaohutaji kuoa na kuolewa Mungu awatokee leo jumalili na walio oa na kuolewa Mungu awape furaha, upendo na amani kwenye ndia zenu.
Vipi wewe umeolewa?
 
ndia zenu??? anyway ukipiga tiki tarehe 28 hakikisha halitoki nje ya box,kura yako isije haribika
 
Back
Top Bottom