Wakuu ushauri tafadhali

Ngwega

JF-Expert Member
Aug 6, 2019
589
626
Habari wakuu

Imepita mwezi sasa sina kabisa hisia za kumchakata manzi wangu japokuwa nakaa nae getto moja,inafika muda hata afanyaje yaani kamanda hastuki kama mlinzi wa kiongozi wa nchi.Hali hii inanifikirisha sana chakustaajabisha nikienda kwenye ma manzi wangu wengine uchakataji unaendelea vizuri mpaka najiuliza yule wa home vipi?

Wakuu naombeni maoni juu ya kazia hii inayonikuta nikiwa maskani.Samahani kwa muandiko mbovu nilikimbia shule
 
Habari wakuu

Imepita mwezi sasa sina kabisa hisia za kumchakata manzi wangu japokuwa nakaa nae getto moja,inafika muda hata afanyaje yaani kamanda hastuki kama mlinzi wa kiongozi wa nchi.Hali hii inanifikirisha sana chakustaajabisha nikienda kwenye ma manzi wangu wengine uchakataji unaendelea vizuri mpaka najiuliza yule wa home vipi? Wakuu naombeni maoni juu ya kazia hii inayonikuta nikiwa maskani.Samahani kwa muandiko mbovu nilikimbia shule
ulioa mshikaji mwenzio
 
Umemdhalilisha mlinzi wa kiongozi wa nchi kwa kumfananisha na kiungo cha mwanaume kinacho hofadhiwa na boxer
 
Je unampenda kwel kwa dhati na yeye anakupenda kwa dhati??? Fikiria swali hili mara kadhaa kisha jibu
[/QUOTE Tunapendana sana ni miaka kama kumi hivi nipo nae kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom