Nimeingia cha kike kwa mtoto wa Diwani

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ukimya wangu ulikuwa na Mengi sana hapa kati kati,
Kwanza mimi sio muhanga wa Moto pale Morogoro japo kwa hali yangu ya Uchumi laiti ningekuwa pale basi nami ningejikita Zaidi kwenye uchakataji wa uchotaji wa mafuta,

Jemedary kufa Vitani ni Heshima R.I.P wahanga wote japo kuna Muhuni wangu wa pale Msufini nae alikamatia Fursa R.I.P jembe,

Nilikuwa naingia JF kwa uoga uoga sana this time na kupost sio kama Zamani ili msifikire kwamba nami nilikuwa muhanga,

ukweli ni kwamba Zero Safari hii Nimeingia Choo cha kike,
Ni baada ya Kumtafuna mtoto Wa diwani na kumpa Mimba (ni mmoja kati ya wale watatu )

Huyu Demu Sikuwa najua Zaidi kuhusu yeye Zaidi ya jina lake na kuulizia tu mahali eneo analoishi,
inshort ni tulikutana tukamake Love basi na kuendelea,

Sasa msala alivyopata Mimba mi kupewa Taarifa, nikaitwa kwa baba mkwe nikajitambulishe Nikaignore na kuwaambia nitakuja siku nikipata Muda,
Kitu sikujua ni kwamba kumbe mzee wake ni Diwani na hela zipo kilichofata bhana nikafatwa na Port kama siku mbili mbele baada ya kuignore ombi lao,

Nikapelekwa Post nikakuta mzee kanifungulia kesi ya kwamba nimemuharibu Binti yao na kumpa Mimba huku Binti yao ndio kwanza anajiandaa kuingia Chuo Mwaka wa kwanza mwezi huu wa 9,

Aiseee niliishiwa pozi baada ya heka heka za hapa na pale na yule mzee mwisho wa siku tukamalizana kwamba anataka niende nikatoe Posa, Nimuoe mwanae hataki kuona mtoto wake huyo wa kike anakuwa na mtoto nje ya baba atakaemuoa(tena kwa maandishi muhuri na sahihi juu) .

Nilikubali kiroho Upande ili yaishe yasifike mbali ila kiukweli mimi sina hisia zozote na huyo Binti yaani kiufupi sina Upendo nae ata Robo,

Wiki mbili sasa zinaelekea kukatika nipo nawaza Najitahidi kujionesha niko sawa lakini bado,

Wakuu nipeni mawazo mbadala nifanye nini kiukweli nikimuoa huyu binti nitamtesa tu, siyo kwa kumpiga au kumnyima chakula ila nafikiri Nitamcheat sana na kitu ambacho niliapa sitafanya kwa mke wangu wa ndoa.

CC Zero IQ
 
Duh pole sana...ushauri wangu anza kujifunza kumpenda huyo binti ili mwisho wa siku mkioana muishi kwa furaha. Angalia upande wa uzuri na mazuri yake zaidi kuliko ubaya nakuhakikishia utakuja kumpenda hutaamini.

Btw ulivyomlala na kumpa mimba hukujua kama hakidhi moyo wako?pambana na ulilolitafuta.
 
Mimi ni mchakataji tu nilikuwa nachakata chochote kinachopita Mbele yangu mkuu.
 
Ukimya wangu ulikuwa na Mengi sana hapa kati kati,
Kwanza mimi sio muhanga wa Moto pale Morogoro japo kwa hali yangu ya Uchumi laiti ningekuwa pale basi nami ningejikita Zaidi kwenye uchakataji wa uchotaji wa mafuta,

Jemedary kufa Vitani ni Heshima R.I.P wahanga wote japo kuna Muhuni wangu wa pale Msufini nae alikamatia Fursa R.I.P jembe,

Nilikuwa naingia JF kwa uoga uoga sana this time na kupost sio kama Zamani ili msifikire kwamba nami nilikuwa muhanga,

ukweli ni kwamba Zero Safari hii Nimeingia Choo cha kike,
Ni baada ya Kumtafuna mtoto Wa diwani na kumpa Mimba (ni mmoja kati ya wale watatu )

Huyu Demu Sikuwa najua Zaidi kuhusu yeye Zaidi ya jina lake na kuulizia tu mahali eneo analoishi,
inshort ni tulikutana tukamake Love basi na kuendelea,

Sasa msala alivyopata Mimba mi kupewa Taarifa, nikaitwa kwa baba mkwe nikajitambulishe Nikaignore na kuwaambia nitakuja siku nikipata Muda,
Kitu sikujua ni kwamba kumbe mzee wake ni Diwani na hela zipo kilichofata bhana nikafatwa na Port kama siku mbili mbele baada ya kuignore ombi lao,

Nikapelekwa Post nikakuta mzee kanifungulia kesi ya kwamba nimemuharibu Binti yao na kumpa Mimba huku Binti yao ndio kwanza anajiandaa kuingia Chuo Mwaka wa kwanza mwezi huu wa 9,

Aiseee niliishiwa pozi baada ya heka heka za hapa na pale na yule mzee mwisho wa siku tukamalizana kwamba anataka niende nikatoe Posa, Nimuoe mwanae hataki kuona mtoto wake huyo wa kike anakuwa na mtoto nje ya baba atakaemuoa(tena kwa maandishi muhuri na sahihi juu) .

Nilikubali kiroho Upande ili yaishe yasifike mbali ila kiukweli mimi sina hisia zozote na huyo Binti yaani kiufupi sina Upendo nae ata Robo,

Wiki mbili sasa zinaelekea kukatika nipo nawaza Najitahidi kujionesha niko sawa lakini bado,

Wakuu nipeni mawazo mbadala nifanye nini kiukweli nikimuoa huyu binti nitamtesa tu, siyo kwa kumpiga au kumnyima chakula ila nafikiri Nitamcheat sana na kitu ambacho niliapa sitafanya kwa mke wangu wa ndoa.

CC Zero IQ
"Mwosha huoshwa"
Kila lakheri mkuu ktk ndoa yako
Diwani kaza uzi usilegeze
 
Bora unge ungua na moto tu pale Msavu kuliko msala huo
 
Kuwa baba siyo tatizo, Tatizo ni kulazimishwa kumuoa nje ya mahitaji yangu
Sasa inabidi ujikaze kiume useme ukweli kwa baba mkwe kwamba kwasasa hauko tayari kuoa ilaa mtoto akizaliwa utalea pamoja na mahitaji mengine utatoa
 
Mzee mwenyewe mtata kinoma mkuu
 
Back
Top Bottom