Naya-miss maisha ya Chuo kuliko ya sasa hivi

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
UDSM 2009-2013

1. Watoto wakike bwerere tuu unajichagulia tuu,now had uwaone variety ni ngumu sana.

2. Ma Bash, hapa sasa ndo ilikua burudani, mara whitesands, mara sansiro mara mbalamwezi dah, hapa ni kubambiana kwa kwenda mbele.

3. Vi date vya hapa na pale, boom asilimia 100 ,hapo unapendeza na pamba za karume na mwenge na wale jamaa walikua wanapitisha kwenye room.

4. Clubing,hapa sasa ndo ilikua hatar enz hzo savanah posta na pale quality centre daaah,.. Drinking, dancing like nobodys business.

5. Nilikuaga na mazoea sana na ma foreigner wale wazungu walikua wanasoma pale chuo ,weng tukawa tunafahamiana basi madem wa kiswahili walikua wananionaje sjui, cafeteria meza moja mswahil peke yangu nilikua natumia kama fimbo ya kupata mabint wa kiswahil na walikua hawachomok.

6. Kipind cha mitihan UE nilikuaga had nakonda, kuoga ilikua nadra sana nywele sichan had rang ya mwil inabadilika, nilikua mzee wa kuzima moto sabab nilikuaga sisomi ni bata tuu sema ndo hvo wengne tulizaliwa na viakil vya asil bas tunafaulu tu.

7. Exile..hii inamaana unatumia room yenu kama lodge, yaan unawapanga wenzio kwamba jaman leo nna mzigo so niachien room kwa mda fulan wanakuachia unafanya mauaji.

8. Food..mim nilikua sili saana cafeteria pale, maana hata nikila pale sishibi unless nile cafetria zote mbili zile kubwa.

So mara nying nilikua naingia mtaan savey pale au had ubungo naenda nunua samak ea kukaanga wale etc etc.

9. Baada ya muda mwaka wa 4 nilihamia kupanga mtaan huko mabibo karib na hostel, bas kale kageto kalikua na madhambi ya uzinz had aibu.. Had nikawa na biffs na watoto wakike wa mama mwenye nyumba maana nao walikua kama wananitaka vile na vile mwananchuo, ila sikuwah kuwala.

Yaan nataman nirud chuo, sjui nikasome masters, daah
 
Kodi zetu zimetumika hovyo sana kwa kisingizio cha mkopo wa elimu ya juu, hovyo kabisa na zikiisha mlikuwa mnaandamana na kulialia.... mtaani umepigika sasa unakumbuka enzi mnataka tena.

Imeisha hiyoooo.
Ila mimi nitarudi tena tu, vimbwetani kumalizia PHD yangu, nitajisomesha mwenyewe.
 
Back
Top Bottom