Wanawake wanavutiwa na mambo haya

brownboy

Senior Member
Jun 10, 2023
100
267
1. Usafi, wanawake wanapenda mwanaume msafi anaejitunza kuanzia mavazi, anapoishi na anakofania Kazi. Jitahidi fua nguo, uoge vizuri piga mswaki piga pasi. Safisha nyumba yako vizuri nk.

2.Fashion. uwe mtu wa fashion yani unaenda na wakati kwenye mavazi, pangilia pigo zako vizuri utaona watavyojigonga

3. Harufu. Hamna kitu kinamvutia mwanamke kama harufu nzuri. Perfume, deodorant. Body spray nzuri. Mdomo usinuke, pia kwapa na mapumbu yasinuke wala kusiwe na harufu yeyote mbaya inayotoka kwenye mwili wako. Mwanamke akishasikia harufu nzuri basi atakuganda sana

4. Jiamini na uwe na swagg. Uongeaji unavyotembea ukiwa na watu etc huweza kuwajulisha watu kama unajiamini au la..

5. Be unavailable
Wanawake hawawapendi wanaume wanaopatikana muda wote wakihitajika hii inakupunguzia mvuto hivyo jaribu kutojirahisisha kwake na usiwe wa kupatikana kirahisi.

Ukifanya haya basi hautobabaishwa na wanawake.
 
FB_IMG_16923057216051103.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom