Kunisafirisha kutoka mbali halafu mambo hunipi, dah!

mmmuhumba

JF-Expert Member
Nov 8, 2017
491
476
Ni kawaida wapenzi wanapokuwa mbali, kuwa na hamu kubwa ya kuonana kutokana na umbali, majukumu na uchumi, huwa ni kwazo wao kuonana mara kwa mara.

Ila wapo wapenzi wanakutana na changamoto, kwamba mwanamke anaitwa na mwanaume wake na washagombana sana kwa mmoja, kuona mwenzie kama hana mapenzi naye ndio maana hataki kukubali kusafiri alipo.

Mbaya umesafiri kumfuata mpenzi wako toka mikoa na mikoa halafu unafika kwa mwanaume wako au mwanamke wako, unakaa naye siku moja au zaidi na hataki kukupa chochote na unapomgusa anadai anaumwa.

Nianze na wanaume, hivi unamsafirishaje mwanamke na akifika kwako anashindwa kumtimizia haja yake huku ukusingizia unaumwa, ikiwa umempa ahadi ya kumtenda atakacho kwa unono?

Na wanawake, unamtia mwenzio genye kibao, kudai umemmisi na anafunga safari alafu unamlaza wiki nzima mzungu wa nne mpaka anasepa?.
Hapa shida inakuwa ni nini?

20221016_093741.jpg
 
Ni kawaida wapenzi wanapokuwa mbali, kuwa na hamu kubwa ya kuonana. kutokana na umbali, majukumu na uchumi, huwa ni kwazo wao kuonana mara kwa mara.
Ila wapo wapenzi wanakutana na changamoto, kwamba mwanamke anaitwa na mwanaume wake na washagombana sana kwa mmoja, kuona mwenziye kama hana mapenzi naye ndiyo maana hataki kukubali kusafiri alipo.
Mbaya umesafiri kumfuata mpenzio toka mikoa na mikoa alafu unafika kwa mwanaume wako au mwanamke wako, unakaa naye siku moja au zaidi na ataki kukupa chochote na unapomgusa anadai anaumwa.
Nianze na wanaume, hivi unamsafirishaje mwanamke na akifika kwako anashindwa kumtimizia haja yake huku ukusingizia unaumwa, ikiwa umempa ahadi ya kumtenda atakacho kwa unono?
Na wanawake, unamtia mwenzio genye kibao, kudai umemmisi na anafunga safari alafu unamlaza wiki nzima mzungu wa nne mpaka anasepa?.
Hapa shida inakuwa ni nini?
View attachment 2608568
Yaan mlale kitanda kimoja then akunyime ?
 
Hahahahaha umefika umepauka sana akajua pengine hapo ngoma au gono sugu haikosekani.

Ushauri.
Kama hauliamini sana penzi lako acha kuonana na mpenzi wako ambaye hamjaonana muda mrefu ukiwa umepauka au kuchoka. Subiri subiri unawiri kwanza.
 
Yamenikuta dem nimemtoa anga za mbali nikitegemea nitamla lakin dah nilikula kwa macho, kitanda kimoja shuka moja ye yupo mtupu na mi hvy ila ukimgusa tu ooh niache ukingangana anakwambia mkatili, mbabe siku mbili zikakata kwakwel alirud vile vile na utamu wake kwakuwa mleta uzi kanikumbusha machungu, we demu kama upo humu unikumbuke kabla sijakuloga maana kipind kile niliokoka kabla ya umri nimegundua nilikosa vitam vingi njoo pm kabla sijafanya maamuz magumu
 
Inauma hasa ukifanyiwa na umpendae. Nilimsafirisha KE wangu kutoka mkoani(tulipishana siku kadhaa zilipita). Alipofika akanikazia hanipi na kukikucha anaondoka akasalimie kwao, alilala na skin jeans sikuamini nilijiskia vibaya mno bembeleza sana, fosi kiaina lakini hola nikamtoa out usiku huo huo tukaenda hoteli lakini haikusaidia chochote. Asubuhi imefika anaondoka akanipa bonge la kiss na kusema ingekuwa hana haraka ya kuwahi basi tungefanya, hapo ndio nilianza kuelewa kumuelewa mwanamke ni ngumu sana. Yani tumeshinda na kulala wote hakujali anakuja kuonesha kujali ikiwa too late. Alivyoondoka ndio ukawa mwisho wetu licha ya yeye kutaka penzi liendelee.
 
Hana adabu huyo
 
Huyo alikuja akiwa na lengo na mambo yake
Hakupanga kutoa mzigo
 
kuna jamaa yangu alishamtimua mwanamke wake saa 9 usiku, sema alikosea sana maana mwenzie simba walikuwa wanacheza, hadi leo hii anamuomba yule mwanamke msamaha bila mafanikio.

Huyu alikosea pakubwa sana,unamfukuzaje mwenzio sa9 usiku na unajua ana sababu za kutokutoa mzigo?
Hivi huwa mnaanzaje kuombana mzigo na mwenzio uwanja umejaa maji?
Huyo dada akaze hapohapo
 
Hahahahaha umefika umepauka sana akajua pengine hapo ngoma au gono sugu haikosekani.

Ushauri.
Kama hauliamini sana penzi lako acha kuonana na mpenzi wako ambaye hamjaonana muda mrefu ukiwa umepauka au kuchoka. Subiri subiri unawiri kwanza.
Nimekuelewa sana hii comment yako. Ni mtu ambaye amekutwa na kisanga kama changu ndipo atakuelewa vema.

Ilinikuta baada ya kumaliza chuo na kukaa idle kwa muda nikiwa sina mishe. Then hali haikuwa nzuri. Ikapita miaka 3 beki hazikabi. Sasa kuna manzi yangu ambaye tulikuwa tunapeana utamu ile ya sana. Yaani tukionana hivi yeye analoa me ninadrip analegea mimi nakaza mwili mzima tunatakana.

Sasa ikatokea nikaenda tena mkoa aliopo kwa dharula ya mshikaji wangu alisema nimsindikize nimsaidie kumdrive hadi huko.

Sasa bwana. Waswahili husema mapenzi kitu kingine. Yaani nimeingia tu hapo wilayani, khaaaaaah simu ya yule binti inaingia ananisalimia. Hadi moyo ukalia paaaah. Maana kama kuniona sidhani kama aliniona somewhere na alikuwa anaongea kawaida tu sio kama mtu ambaye amejua nimefika hapo mkoani.

Dah basi katika kuongea anakanotice kuwa sipo comfortable huku na kule tukamaliza kuongea. Sasa kituko ni siku tumeenda na mshikaji town nimekaa zangu ndani ya gari khaaaaaah demu huyu hapa kanitokea dirishani aisee niliona noma. Nikabakia nimeduwaa kama mume kafumwa na mke.

Kwa aibu nikajikomba kwa kumwambia ndio nimeingia mchana huo hata sijafika ninapokwenda kulala nitamtafuta jioni. Tukaja kuonana siku iliyofuatia tukashinda siku nzima. Ila nikamuona kama hajiamini hajarelax kitu ambacho kikaninyima na mimi confidence dah.

Ila uzuri huwa tunaongea bayana, akanichana tu kuwa nimepungua, halafu kama sijiamini fulani hivi. Akanipa nipa makavu yangu fulani hivi. Anyways nikampa mistari ya kumtuliza akanielewa. Bado tunawasiliana lakini and she's still my boo.

So nakuelewa sana eneo hili la kuonana na mwanamke ambaye hajakuona muda kidogo aisee utatamani unawiri overnight ili asubuhi uulambie mkaonane uchukue points zako kadhaa.
 
Inauma hasa ukifanyiwa na umpendae. Nilimsafirisha KE wangu kutoka mkoani(tulipishana siku kadhaa zilipita). Alipofika akanikazia hanipi na kukikucha anaondoka akasalimie kwao, alilala na skin jeans sikuamini nilijiskia vibaya mno bembeleza sana, fosi kiaina lakini hola nikamtoa out usiku huo huo tukaenda hoteli lakini haikusaidia chochote. Asubuhi imefika anaondoka akanipa bonge la kiss na kusema ingekuwa hana haraka ya kuwahi basi tungefanya, hapo ndio nilianza kuelewa kumuelewa mwanamke ni ngumu sana. Yani tumeshinda na kulala wote hakujali anakuja kuonesha kujali ikiwa too late. Alivyoondoka ndio ukawa mwisho wetu licha ya yeye kutaka penzi liendelee.
Huyu kuna sehemu alikuwa anaenda kutombwa wewe alikuja tu ili kupumzika na kukuridhisha kuwa kaja. Mwanamke akikunyima game jua kuna sehemu analigawa.
 
Back
Top Bottom