Tamalisa
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 2,542
- 907
Habari za Jumatano marafiki,
Mi nina swali tu nahitaji kusikia mawazo tofauti tofauti toka kwa wadau. Ndoto ni kitu cha kawaida tu japo inasemekana nyingine hutokea kweli.
Sasa nauliza unapo ota mara kwa mara kuwa mpenzi wako anakusaliti, tena kwa kumfumania kabisa ktk ndoto hii inakaaje? unaweza kujikuta ndani ya mwezi umeota mara 3 au hadi 4.
Hili ni swali tu halimgusi mleta mada wala mtu yoyote yule.
Karibuni kwa maoni