Ukiona SMS ya aina hii toka kwa mwanaume usijibu

Baby mama akinizingua hua namuita jina lake, hapo anajua kuna jambo zito anaanza kutengeneza ule uso wake wa kutia huruma huku anapepesa pepesa kope zake, nikishamuona tu hasira zinaisha, namuadhibu kitandani.
 
Kwa tafsiri ni kuwa huyu anapinga watu wasifanye mapenzi,je itawezekana..?
 
Adhabu gani na kitandani?
Baby mama akinizingua hua namuita jina lake, hapo anajua kuna jambo zito anaanza kutengeneza ule uso wake wa kutia huruma huku anapepesa pepesa kope zake, nikishamuona tu hasira zinaisha, namuadhibu kitandani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom