Introvert: Huu ndio uhalisia wa mahusiano yangu ya kimapenzi

nyalujama

JF-Expert Member
Sep 4, 2020
221
342
Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa Mungu kanijaalia kazi tu ya kawaida nashukuru kwa hilo, mimi ni kijana ambaye kwenye jamii naonekana kijana mwenye heshima mpole na sifa nzuri Sana.

Shida ni kwamba sina furaha kabisa coz tokea nijue habari za mahusiano sijawahi pata mtu ninayempenda coz nahisi hali yangu ya introvert inaninyima hiyo nafasi.

Yaani wasichana wanavutiwa na upole wangu but hawako tayari kuwa na mimi japokuwa sio kwamba labda naogopa kupiga sound but Sina bahati hiyo.

Unakuta Nina namba za watoto wakali hata 10 lakini at the end sipati hata mmoja licha ya kwamba najitahidi my best kuendana na mazingira mwisho wa siku najikuta nafuta tu namba coz naona kama wananichora tu

Kinachoniponza ni hali yangu ya ukimya na upole pia Mimi ni introvert by nature, Najikuta najichukia coz zamani nilihisi labda kwakuwa Sina hela ndio maana hakuna anaenipenda leo nimepata japo kiduchu naona Hali iko vile vile hapa ninapoandika Huu Uzi nimetoka kufuta namba za mademu wote ambao nilitamani nipate mmoja wapo ila naona Kama ni Mimi tu ambaye ninashida nao

But all in all nimeazimia moyoni kuachana na kabisa na hii sekta coz naona sijaumbiwa kushinda katika hili Jambo
Na nachukia hii hali( introvert) naona Kama mkosi Fulani japo siwezi ibadilisha

Kama na wewe unapitia Hali hii au ulipitia share uzoefu wako tujifariji
 
Introvent is your nature. Unachotakiwa kufa ya ni ku learn how to improvise na lu expand your social circle. Huko utakuta na watu watakao endana na ww.
Huwez avoid your nature.. but unaweza kuongeza skills ukaqa better and better.

Binafsi ni introvent but with extreme hight social skills. Kujitenga kunifungia ndani na kukaa mwenyewe. Kuta decrease your social circle.
 
Introvent is your nature. Unachitakiwa kufa ya ni ku learn how to improvise na lu expand your social circle. Huko utakuta na watu watakao endana na ww.
Huwez avoid your nature.. but unaweza kuongeza skills ukaqa better and better.

Binafsi ni introvent but with extreme hight social skills. Kujitenga kunifungia ndani na kukaa mwenyewe. Kuta decrease your social circle.
Ushauri mzuri sana huo... Kila mtu ni Introvent kutokana na mazingira atafute marafiki wachache ambao ni introvert ambao pia unaweza waelezea hali yako inayokukumbuka then kupitia hao ndio ataweza socialize hii itasaidia sana.
 
Tafuta demu anaekupenda sio unaempenda ili level of confedence yako iongezeke..... ukiendelea kungag'ania hao wasio kijali introverts ni wepesi kujinyonga wakiwa disappointed na mademu. Sasa acha mambo ya kusema 'pisi kali' kila demu ni kali isipokua fikra yako
 
Mkuu namba 10 tu tayari umekata tamaa.

Mwenzio huku na namba 67 na wote ni bila bila hata message zangu hawataki kuziona.

Usikate tamaa na kujichukukia mwenyewe boss wangu.
 
Introvert!
1599616080499_adobe.jpg
 
Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa Mungu kanijaalia kazi tu ya kawaida nashukuru kwa hilo, mimi ni kijana ambaye kwenye jamii naonekana kijana mwenye heshima mpole na sifa nzuri Sana.

Shida ni kwamba sina furaha kabisa coz tokea nijue habari za mahusiano sijawahi pata mtu ninayempenda coz nahisi hali yangu ya introvert inaninyima hiyo nafasi.

Yaani wasichana wanavutiwa na upole wangu but hawako tayari kuwa na mimi japokuwa sio kwamba labda naogopa kupiga sound but Sina bahati hiyo.

Unakuta Nina namba za watoto wakali hata 10 lakini at the end sipati hata mmoja licha ya kwamba najitahidi my best kuendana na mazingira mwisho wa siku najikuta nafuta tu namba coz naona kama wananichora tu

Kinachoniponza ni hali yangu ya ukimya na upole pia Mimi ni introvert by nature, Najikuta najichukia coz zamani nilihisi labda kwakuwa Sina hela ndio maana hakuna anaenipenda leo nimepata japo kiduchu naona Hali iko vile vile hapa ninapoandika Huu Uzi nimetoka kufuta namba za mademu wote ambao nilitamani nipate mmoja wapo ila naona Kama ni Mimi tu ambaye ninashida nao

But all in all nimeazimia moyoni kuachana na kabisa na hii sekta coz naona sijaumbiwa kushinda katika hili Jambo
Na nachukia hii hali( introvert) naona Kama mkosi Fulani japo siwezi ibadilisha

Kama na wewe unapitia Hali hii au ulipitia share uzoefu wako tujifariji
Pole aisee hiyo hali ni tete. Ila una uhakika ni kua hupati wasichana ambao wako tayari kua nawe au ni unampenda msichana ambae hayupo tayari kua nawe?
 
Changamka, acha kujiita introvert, jiite sukari ya warembo. Usipokuwa makini utaoa sabuni
 
Hakuna watu malaya wa sirisiri Kama tunaoitwa introvert!
Kuna introvert na undercomfident nahis unachanganya haya mambo mawili!
Hakuna mwanamke anaetaka mwanaume asiejiamin, na upole wako huohuo ukijiamin mbele ya demu hawez kutoboa utamtafuna tuuu
 
Wadada wengine wanapenda wanaume wapole. Nahisi kuna vitu vingine kwako haviko sawa.

Imegine mtu mpole hivyo afu bahili; pata hiyo picha? Sijasema wewe bahili lakini kwakuwa wanaume wengi ni bahili hata wewe yawezekana una ugonjwa huo.

Cha kufanya baki na upole wako fanya jitihada uongeze kipato.sio unakuja kusema hapa kuwa una vijisent vidogo kumbe unamaanisha mwanamke natumizi elfu 20000, hizi ni za watoto wa secondary ingawa nao siku hizi elfu 20000 hawazitaki maana wanamiliki simu kali kuliko walimu wao.

Ongeza kipato na upole wako wanawake hutotumia nguvu kubwa. Uwe na vitu vidogo vidogo vinavyooneka bana. Na usisubiri mwanamke akuombe.

Huwezi kuwa na no za wa wadada 10 ati wote hawaeleweki.

Au unadhani MUngu alivyowaita vichwa vya familiya alikuwa anatani?

Toa huduma bana.
 
Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa Mungu kanijaalia kazi tu ya kawaida nashukuru kwa hilo, mimi ni kijana ambaye kwenye jamii naonekana kijana mwenye heshima mpole na sifa nzuri Sana.

Shida ni kwamba sina furaha kabisa coz tokea nijue habari za mahusiano sijawahi pata mtu ninayempenda coz nahisi hali yangu ya introvert inaninyima hiyo nafasi.

Yaani wasichana wanavutiwa na upole wangu but hawako tayari kuwa na mimi japokuwa sio kwamba labda naogopa kupiga sound but Sina bahati hiyo.

Unakuta Nina namba za watoto wakali hata 10 lakini at the end sipati hata mmoja licha ya kwamba najitahidi my best kuendana na mazingira mwisho wa siku najikuta nafuta tu namba coz naona kama wananichora tu

Kinachoniponza ni hali yangu ya ukimya na upole pia Mimi ni introvert by nature, Najikuta najichukia coz zamani nilihisi labda kwakuwa Sina hela ndio maana hakuna anaenipenda leo nimepata japo kiduchu naona Hali iko vile vile hapa ninapoandika Huu Uzi nimetoka kufuta namba za mademu wote ambao nilitamani nipate mmoja wapo ila naona Kama ni Mimi tu ambaye ninashida nao

But all in all nimeazimia moyoni kuachana na kabisa na hii sekta coz naona sijaumbiwa kushinda katika hili Jambo
Na nachukia hii hali( introvert) naona Kama mkosi Fulani japo siwezi ibadilisha

Kama na wewe unapitia Hali hii au ulipitia share uzoefu wako tujifariji
Hakuna mtu introvert duniani
 
Pole aisee hiyo hali ni tete. Ila una uhakika ni kua hupati wasichana ambao wako tayari kua nawe au ni unampenda msichana ambae hayupo tayari kua nawe?
Napata sema ndio hivo ninao wapata huwa sio hitaji la moyo kivile
 
Mimi ni kijana umri wa miaka kadhaa Mungu kanijaalia kazi tu ya kawaida nashukuru kwa hilo, mimi ni kijana ambaye kwenye jamii naonekana kijana mwenye heshima mpole na sifa nzuri Sana.

Shida ni kwamba sina furaha kabisa coz tokea nijue habari za mahusiano sijawahi pata mtu ninayempenda coz nahisi hali yangu ya introvert inaninyima hiyo nafasi.

Yaani wasichana wanavutiwa na upole wangu but hawako tayari kuwa na mimi japokuwa sio kwamba labda naogopa kupiga sound but Sina bahati hiyo.

Unakuta Nina namba za watoto wakali hata 10 lakini at the end sipati hata mmoja licha ya kwamba najitahidi my best kuendana na mazingira mwisho wa siku najikuta nafuta tu namba coz naona kama wananichora tu

Kinachoniponza ni hali yangu ya ukimya na upole pia Mimi ni introvert by nature, Najikuta najichukia coz zamani nilihisi labda kwakuwa Sina hela ndio maana hakuna anaenipenda leo nimepata japo kiduchu naona Hali iko vile vile hapa ninapoandika Huu Uzi nimetoka kufuta namba za mademu wote ambao nilitamani nipate mmoja wapo ila naona Kama ni Mimi tu ambaye ninashida nao

But all in all nimeazimia moyoni kuachana na kabisa na hii sekta coz naona sijaumbiwa kushinda katika hili Jambo
Na nachukia hii hali( introvert) naona Kama mkosi Fulani japo siwezi ibadilisha

Kama na wewe unapitia Hali hii au ulipitia share uzoefu wako tujifariji
Daa acee tulio katika msoto huu ni wengi kumbe nikafiir mimi tuu bwana nami piah nimekua mtu wa kufuta namb kila kukuchapo leo nilpon kuwa olevel nilijua nikifika advance ntapat ninatoka kap mtaan na usom wangu kapa acee mimi piah nish decided kukaa mbali na love na isitoshe now msichana akileata ujinga futa namba na yeye na mwambia ebu futa basi sitak usumbufu
 
Wadada wengine wanapenda wanaume wapole. Nahisi kuna vitu vingine kwako haviko sawa.

Imegine mtu mpole hivyo afu bahili; pata hiyo picha? Sijasema wewe bahili lakini kwakuwa wanaume wengi ni bahili hata wewe yawezekana una ugonjwa huo.

Cha kufanya baki na upole wako fanya jitihada uongeze kipato.sio unakuja kusema hapa kuwa una vijisent vidogo kumbe unamaanisha mwanamke natumizi elfu 20000, hizi ni za watoto wa secondary ingawa nao siku hizi elfu 20000 hawazitaki maana wanamiliki simu kali kuliko walimu wao.

Ongeza kipato na upole wako wanawake hutotumia nguvu kubwa. Uwe na vitu vidogo vidogo vinavyooneka bana. Na usisubiri mwanamke akuombe.

Huwezi kuwa na no za wa wadada 10 ati wote hawaeleweki.

Au unadhani MUngu alivyowaita vichwa vya familiya alikuwa anatani?

Toa huduma bana.
Sawa mkuu
Ila ubahili kweli ninao sitoi hela kizembe labda niwe nimeielewa pisi
 
Back
Top Bottom