Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau wa JF kama [emoji1426][emoji1426] Bana kuna pisi moja kali ilinielewa kinoma ikawa inataka niichape mambo coz hapa mageton msela nilikua mwenyewe tu wengine wote ni madem kwahy wengi wao...
0 Reactions
6 Replies
974 Views
Ndugu zangu ukitaka kufahamu mwanamke kama ni msafi au mchafu mara tu unapokutana nae mwangalie kucha za miguu yake jinsi zilivyo ndio tabia yake halisi. Kucha za miguu ni kitu cha mwisho kwa...
11 Reactions
28 Replies
4K Views
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yeye ananiita...
2 Reactions
26 Replies
11K Views
Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuumbia nyie viumbe maana sometimes huwa nashindwa kuimagine maisha yangekuaje bila nyie To be honest wadada wenye lips nene mna nafasi kubwa sana moyoni...
6 Reactions
102 Replies
9K Views
Michepuko mna nini lakin? Wakuu ninaandika kwa masikitiko na majonzi makubwa saana. Nimeoa takribani miezi Tisa sasa. Kama mjuavyo kwetu sisi wanaume hatuachi kuchepuka ikiwa ndo asili na hulka...
9 Reactions
118 Replies
12K Views
Habari natumaini kila mtu mzima naomba mnisaidie kwa hili wife wangu tumepigana Jana mpka aliamua kuchukua uamzi wa kipga TV yangu flat screen Na akaipasua kioo Na hii TV nilinunua nch 32...
4 Reactions
207 Replies
20K Views
Habari zenu Wanabodi, Tuendelee kupambana na Corona ni hatari sana, nikiwa niko chini ya amri ya Serikali ya kutokutoka nje mwezi na ushee sasa imekuwa ni gereza kwangu asikuambie mtu maisha ya...
4 Reactions
125 Replies
16K Views
Habari zenu. Mie ni kijana wa kiume. Kama nilivyoandika ktk kichwa cha habari, ni kwamba nikimtongoza mwanamke akakubali, na kuwa mpenzi wangi, nikifanya nae ngono mara moja au mbili au tatu...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Kuna hii sentensi naionaga katika Bible kuwa mkumbuke mke wa ujana wako hivi huwa Ina maana gani? Kwamba muoe Mwanamke uliyemtoa bikra au ndo usimwache mchumba wako wa zamani...
5 Reactions
12 Replies
4K Views
  • Closed
Habari za asubuhi wakuu! Aisee! Mtasema oohh jamaa ni mtu wa mademu sana lakini hapana hii story wakuu imenishtua sana. Asubuhi nikiwa job kuna mdada wa makamo kanambia leo breakfast ni kwake...
5 Reactions
69 Replies
6K Views
In every murder, there is a motive... Huu ni msemo wenye ukweli 99%. Ni mara chache kutokea mauaji yalitokea tu bila lengo. Tarehe 4, mwezi 6, 2008, Kijana mtanashati kabisa aliyekuwa kama...
15 Reactions
16 Replies
3K Views
Kama mnavyojua ndugu zangu katika mahusiano siku zote hamuwezi kuwa na furaha ila kuna wakati mnaweza mkapishana mkasameheana na maisha yakaendelea. Katika mahusiano pia kuna wakati mpenzi wako...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi karibuni mahusiano ya me na ke, hasa wanandoa yamekuwa si ya mapenzi bali ugomvi/ghasia tu (domestic violence). Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini umri wangu na kuwa nimeshuhudia hayo...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Huu msala umenikuta muda si mrefu, Ni demu wangu ambae nilikuwa nadate nae na tulishakuwa na malengo na Moment nzuri sana, Amenikata stimu muda huu baada ya kunipigia simu na kuniambia kuwa...
10 Reactions
36 Replies
5K Views
Karibuni tupeane mbinu mbali mbali za CCWT(chama cha wachepukaji tz) Mbinu ya kwanza kwa wale wanaopata mbebe mpya anakuforce umuweke dp huku unajua fika wife lazima atembele profile yako...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Direct kwenye mada. Kuna wanawake wanajikuta wapambanaji sana, kila biashara inayoibuka wanajikuta kushiriki; mara kuuza vitenge, sijui vyombo online mara ana vikoba saba, mara boxer na vest...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wadau wote Nduguzangu binafsi nilikuwa nina marafiki zangu hivi wawili mmoja anapenda kujiita Jack msafi Kama a.k.a yake na mwingine Ni Musa, Na sisi wote watatu tulikuwa marafiki haswa...
22 Reactions
48 Replies
5K Views
Saikolojia inatuambia kwamba; Maamuzi sahihi ya mwanamke huwa yapo ndani ya dakika 90 tu za mwanzo! Ikipita dakika 90 katika jambo moja lilelile tarajia maamuzi hasi kutoka kwake kuwa ndiyo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Hi jamani, Naitwa Marry nipo Mbeya, natafuta mchumba wa kunioa. Nina miaka 20 tu na elimu nlionayo ni ya Kidato cha sita, hivyo basi nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo; Awe mrefu wastani...
11 Reactions
164 Replies
49K Views
Hello dears..mwanamke kukojoa during sex huwa inakuaje maana kwa ninavofahamu mimi mwanaume ndiyo huwa anakojoaa..naombeni mnieleweshe hapo!
8 Reactions
163 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…