Kitu kimoja kinatosha kueleza kama Mwanamke ni msafi au mchafu

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
755
468
Ndugu zangu ukitaka kufahamu mwanamke kama ni msafi au mchafu mara tu unapokutana nae mwangalie kucha za miguu yake jinsi zilivyo ndio tabia yake halisi.

Kucha za miguu ni kitu cha mwisho kwa mwanamke kuzihudumia na kuzishughulikia na istoshe kucha za miguu zinahitaji huduma na uangalizi wa ziada.

Kama mwanamke hatokua na wasi wasi juu ya kinyaa cha kucha zake za miguu na kutenga muda wa kushughulikia , basi usafi wake ni wa chini sana na hata sehemu zingine hawezi kuzisafisha vizuri.

Nikisema kucha zake sijamaanisha mikucha ya kubandika, wenye mikucha ya kubandika ndio hao wachafu zaidi mana mpaka kucha zao zimeoza ndio wakabandika za plastic.
 
Crap!

nahudumia miguu na mikono ya wadada

wengi wenye kucha zimeoza ni wanaokuja kwa Mara ya kwanza na wanja kucha natural wala hawabandiki.
 
Ndugu zangu ukitaka kufahamu mwanamke kama ni msafi au mchafu mara tu unapokutana nae mwangalie kucha za miguu yake jinsi zilivyo ndio tabia yake halisi.

Kucha za miguu ni kitu cha mwisho kwa mwanamke kuzihudumia na kuzishughulikia na istoshe kucha za miguu zinahitaji huduma na uangalizi wa ziada.

Kama mwanamke hatokua na wasi wasi juu ya kinyaa cha kucha zake za miguu na kutenga muda wa kushughulikia , basi usafi wake ni wa chini sana na hata sehemu zingine hawezi kuzisafisha vizuri.

Nikisema kucha zake sijamaanisha mikucha ya kubandika, wenye mikucha ya kubandika ndio hao wachafu zaidi mana mpaka kucha zao zimeoza ndio wakabandika za plastic.
Sheikh KA.. umechemsha hapo.!!!
Hakuna aliye kamilika.. hata Wanaume ndo wenye mapungufu kibao!!
BTW.. hawa dadazetu huwa wanaSpend pesa nyingi ktk kujitunza.. na gharama zote ni ktk uswafiiiiii...
Karibu kusema kucha !! Ungenena something else.
 
Ndugu zangu ukitaka kufahamu mwanamke kama ni msafi au mchafu mara tu unapokutana nae mwangalie kucha za miguu yake jinsi zilivyo ndio tabia yake halisi.

Kucha za miguu ni kitu cha mwisho kwa mwanamke kuzihudumia na kuzishughulikia na istoshe kucha za miguu zinahitaji huduma na uangalizi wa ziada.

Kama mwanamke hatokua na wasi wasi juu ya kinyaa cha kucha zake za miguu na kutenga muda wa kushughulikia , basi usafi wake ni wa chini sana na hata sehemu zingine hawezi kuzisafisha vizuri.

Nikisema kucha zake sijamaanisha mikucha ya kubandika, wenye mikucha ya kubandika ndio hao wachafu zaidi mana mpaka kucha zao zimeoza ndio wakabandika za plastic.

Kapicha bhasi mkuu
 
Yaani kama kwa mwanamke una mjudge kupitia kucha za miguu, na kwa wanaume je itakuwaje maana at least Hawa dada zetu tunawaona wanayo hangaika na vijana wa kucha kutengeneza na kusafisha kucha. Huko kwa wanaume si ndio balaa.
 
Ndio maana mzee Ngwandu anatuzidi maana haangaliii kucha tu.
JamiiForums138682141.jpg
 
Back
Top Bottom