Ni njia ipi sahihi au ya kudeal na toxic partner ndani ya mahusiano

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kama mnavyojua ndugu zangu katika mahusiano siku zote hamuwezi kuwa na furaha ila kuna wakati mnaweza mkapishana mkasameheana na maisha yakaendelea.

Katika mahusiano pia kuna wakati mpenzi wako sweat na kuna wakati mpenzi wako akawa toxic hali ambayo inawafanya waanze kujuta au kuuumia.

Je inapofikia hatua mpenzi wako yupo toxic ni hatua gani sahihi unaweza kuchukua.
 
Well. Rahis but kutokana na toxic patners kwenye mahusiano walivyo. Ikishafikia level ya ww kuwa kwenye hatari sababu ya tabia yake.
The most working way ni kuwa indifference, yaan act kama hawakushtui vile. Hii inawanyang'anya nguvu.. huwamaliza..
Ila for the safe of your sanity. Walk away. Abusive partners hawaachi kuwa abusive.
 
Kwanza kabla hajafikia huko kwenye "u toxic" nikianza kuona vimelea tu napiga chini mapema tu.

Let's meet at the top, cheers 🍻
 
Sidhani kama umetumia hilo neno "toxic patner" sawa sawa kwenye story yako. Kwasababu kila mahusiano yana siku za furaha na siku za kukosana zile siku mnazokosana haimanishi ndio uko na toxic patner.

Na kama uko na mtu toxic kwenye mahusiano ni kuongea nae aweze kuacha hiyo sumu inayoua mahusiano kama hawezi kuacha ni kuachana nae. Kudeal with a toxic person utaumia sana cause you will always be questioning your worthy, you will always be questioning yourself.

Just move parte after parte.
 
Kama mnavyojua ndugu zangu katika mahusiano siku zote hamuwezi kuwa na furaha ila kuna wakati mnaweza mkapishana mkasameheana na maisha yakaendelea.

Katika mahusiano pia kuna wakati mpenzi wako sweat na kuna wakati mpenzi wako akawa toxic hali ambayo inawafanya waanze kujuta au kuuumia.

Je inapofikia hatua mpenzi wako yupo toxic ni hatua gani sahihi unaweza kuchukua.
Sweat yuko vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom