Natafuta mchumba wa kunioa, nipo Mbeya

Lukende

Member
Jul 22, 2017
8
12
Hi jamani,

Naitwa Marry nipo Mbeya, natafuta mchumba wa kunioa. Nina miaka 20 tu na elimu nlionayo ni ya Kidato cha sita, hivyo basi nahitaji mchumba mwenye sifa zifuatazo;

Awe mrefu wastani kuanzia foot 5-6.

Awe amesoma angalau had fom four

Awe ameajiliwa au anejiajiri sawa tu

Awe mkweli na mwenye busara.
 
halafu mtoto mbichi kabisa me na uzee huu nikiweka tangazo hapa naddhani mtaandamana sababu nitaomba uje na attachment ya bank statement na ole wako utengeneze fake
hahahahahahaahahahaha, au aje na andiko kabisa la kuonesha mtiririko wa biashara zake hahahah, ila wewe basi tu! hahahaha
 
Wanaume sasa tunatafutwa kwa Tochi.....mchumba utapata Marry ila wengi watakuwa ni Wachumba/waume za watu/wa peke yako hakuna miaka 20 kuwa mke wapili kwa kujitakia sio jambo baya..kwa nini usisubiri wachumba wakutafute wewe?
 
Hivi hawa wanawake wanao tafuta wakuolewa nao kwenye media huwa wanafugika kweli. By the way hakunaga mwanaume wa kuona naona hiyo yaani direct tu. Mambo yanaanza kwenye upenzi kwanza ( girl friend boy friend) kisha mnakuja stage ya uchumba ndo ndoa inakuja. stage ngumu sana ni ya pili. ukimaliza hiyo vizuri ndoa hiyooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom