Nini maana ya mkumbuke mke wa ujana wako?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,551
44,707
Habari wanaJF,

Kuna hii sentensi naionaga katika Bible kuwa mkumbuke mke wa ujana wako hivi huwa Ina maana gani?

Kwamba muoe Mwanamke uliyemtoa bikra au ndo usimwache mchumba wako wa zamani first lover wako?
 
Kwenye maisha lolote hutokea
Mwanamke anaweza akampenda mwanaume na akaamini ndio wa maisha yake, akamtunuku ambikiri, kumbe mwamba alimchukulia kama demu wa kuzugia. Baada ya kumla, akawa hajainjoi chochote, bila ya kujua kuwa mwenzake ni mgeni kabisa kwenye mambo hayo, hivyo anahitaji shule mdogo mdogo, yeye anaamua kuchanja mbuga kwa wengine.

Mwanaume wa namna hii, hata iweje, ni ngumu mwanamke kurudisha moyo kwake.
Changamoto huja kwa wale wanaochana kwasababu za umbali, unakuta binti katolewa bikra tanga alipomaliza form4, akachukuliwa na mjomba kwenda kusoma Mwanza form 5, chuo akapiga dar, akaolewa arusha, sasa anarudi tanga kusalimia.

Aliyemtoa bikra bado yupo mtaani humohumo, hawakuwahi kugombana, hahahahaaaaa remix lazima
 
Back
Top Bottom