Ugomvi wa Wanandoa

Ugomvi wa Wanandoa

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,729
Hivi karibuni mahusiano ya me na ke, hasa wanandoa yamekuwa si ya mapenzi bali ugomvi/ghasia tu (domestic violence). Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini umri wangu na kuwa nimeshuhudia hayo kwenye ndugu na marafiki zangu, naona ni busara kuliweka hapa tujadiliane.

Kabla ya kutoa mtazamo wangu kuhusu mada, naomba uvumilivu wenu kueleza machache kuhusu nafasi ya mwanamke katika familia, na jamii kwa ujumla.

Wanawake ndio watunzaji wa msingi wa watoto na wazee katika kila nchi. Utafiti wa kimataifa unaonyesha kwamba wakati mabadiliko ys kiuchumi na kisiasa, wanawake wanaongoza katika kusaidia familia kujirekebisha na hali mpya na changamoto.

Kama binti, mwanamke ni jadi yake kuwajibika kwa kutunza wazazi wake. Kama mke, anatarajiwa kumtumikia mume wake, kutayarisha chakula, mavazi na mahitaji mengine binafsi. Kama mama, anapaswa kutunza watoto na mahitaji yao, ikiwa ni pamoja na elimu.

Mke wa nyumbani (pia anajulikana kama mfanyakazi wa nyumbani) ni mwanamke ambaye kazi yake ni kutunza au kusimamia nyumba ya familia yake, kama:
√ kutunza watoto wake;
√ kununua, kupika, na kuweka chakula kwa ajili ya familia;
√ kununua bidhaa ambazo familia inahitaji kwa ajili ya maisha ya kila siku; na
√ kuangalia nyumba, kusafisha na kuitunza.

Ili mjadala uwe na uhai, naweka maswali ya msingi ya kujiuliza.

1. Je, mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni nini nafasi ya mwanamke nyumbani na katika jamii? Ikizingatiwa, kwa imani ya Kikristu, kwamba imeandikwa Waefeso 5:31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.. Kutimiza hilo hitaji la msingi, imeandikwa.
√ Waefeso 5:22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.; na
√ Waefeso 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake

2) Je, watoto wanapewa malezi yanayostahili na mama yao ambaye ni mfanyakazi?

3) Ni aina gani ya wanandoa, katika karne hii ya TEHAMA, wanatimiza wajibu wao wa mme/mke? Imeandikwa Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

Nawasilisha.
 
1. Teknolojia mchawi namba moja wa ndoa za kileo.

Matumizi yake tunajifunza zaidi visivofaa kuliko vinavofaa
  • mavazi hovyohovyo kichocheo cha ngono.
  • lugha na majibu hovyohovyo bila Nidham wala hofu
  • mitazamo hovyohovyo... ujuwaji mwingi na viburi

2. Malezi ya watoto
A) Asubuhi baba kazini na mama kazini mtoto anakuwa wa house girl 98% ... wakirudi mitandao ya kijamii, TVs nk. Mtoto hapewi nafasi na muda wake kwa wazazi.

B) watoto wanapelekwa boarding school/kindergarten etc at 4years...... mpaka primary...secondary etc. Huyu mtoto hajuwi lolote kuhusu wazazi, makuzi na utamaduni. Bora amekuwa.

3. Dunia hii ya technologies AMBAPO
A) Wanawake asilia bidhaa adimu kama upatikanaji wa Almasi.
  • sura bandia (mikorogo, makeup nk)
  • Tabia za kuigiza.... bandia
  • Akili za bandia ..... jeuri, viburi, wajuwaji nk

B) Wanaume asilia bidhaa adimu kama kuona mchungwa katikati ya jagwa la sahara.
  • Wanaume wanashindana urembo na wanawake, kujichubuwa, kujichora, Kuvaa hereni, kusuka nk
  • Wanaume wananunuliwa kama wanawake. Anaonekana nadhifu kumbe chakula tu .....
  • Tabia bandia
  • Akili bandia
  • maigizo na kujifaraguwa kwa upumbavu ujinga na uelevu wa kitapeli.

Kwasababu binadamu wa asili wameadimika sana..... ndoa ni kitendo cha maigizo kwa 95% ambazo hazidumu sababu ni feki

Bwana..... Feki

Mke ........Feki

Feki + Feki = ndoa Feki.

5% wanaobahatika kukutana binadamu asilia ndio ndoa zinazobahatika kuwa successful.

Ni habari mbaya lakini ndio ukweli.
 
Unajua nmegindua kina dada wako na mda mwingi kuliko wanaume hii inawafanya wakae sana kwny mitandao

N nadra sana kukuta dada ambae n mshamba kipindi hiki, wanajua vitu vingi sana na hapo ndo pembe huota.

Hii inakuwa ngumu sana kukontrol maisha ya kila siku jumlisha midomo yao ndo kabsa.

Mama angu huwa anasema vijana mna kazi sana kupata wake kipindi hiki.
 
Nowadays watu huingia kwenye ndoa kwa kufata mkumbo unakuta wengi wao hawapo au hawajawa tayar kukabiliana na majukumu ya ubaba na umama wa familia
Yaap kweli nmeshuhudia ndoa ya miezi 4. Imagine mtu umechanga laki kwa ajili yao , ule ujiran, ndoa miezi 4 hio hela hata haijaisha.

Watu wanaingia ili waonekane na wenyewe walipita .
 
Miez minne mingi hvyo!!? Kuna watu walikaa wiki mbili tu wakatemana. Mm nikikuchangia ukaleta huo ujinga nakuja kukudai unirudishie mchango wangu
 
Yan heri ya ww unafanya vema sana maana n hasara hizi
 
Hivi karibuni mahusiano ya me na ke, hasa wanandoa yamekuwa si ya mapenzi bali ugomvi/ghasia tu (domestic violence). Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini umri wangu na kuwa nimeshuhudia hayo kwenye ndugu na marafiki zangu, naona ni busara kuliweka hapa tujadiliane.

Kabla ya kutoa mtazamo wangu kuhusu mada, naomba uvumilivu wenu kueleza machache kuhusu nafasi ya mwanamke katika familia, na jamii kwa ujumla.

Wanawake ndio watunzaji wa msingi wa watoto na wazee katika kila nchi. Utafiti wa kimataifa unaonyesha kwamba wakati mabadiliko ys kiuchumi na kisiasa, wanawake wanaongoza katika kusaidia familia kujirekebisha na hali mpya na changamoto.

Kama binti, mwanamke ni jadi yake kuwajibika kwa kutunza wazazi wake. Kama mke, anatarajiwa kumtumikia mume wake, kutayarisha chakula, mavazi na mahitaji mengine binafsi. Kama mama, anapaswa kutunza watoto na mahitaji yao, ikiwa ni pamoja na elimu.

Mke wa nyumbani (pia anajulikana kama mfanyakazi wa nyumbani) ni mwanamke ambaye kazi yake ni kutunza au kusimamia nyumba ya familia yake, kama:
√ kutunza watoto wake;
√ kununua, kupika, na kuweka chakula kwa ajili ya familia;
√ kununua bidhaa ambazo familia inahitaji kwa ajili ya maisha ya kila siku; na
√ kuangalia nyumba, kusafisha na kuitunza.

Ili mjadala uwe na uhai, naweka maswali ya msingi ya kujiuliza.

1. Je, mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni nini nafasi ya mwanamke nyumbani na katika jamii? Ikizingatiwa, kwa imani ya Kikristu, kwamba imeandikwa Waefeso 5:31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.. Kutimiza hilo hitaji la msingi, imeandikwa.
√ Waefeso 5:22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.; na
√ Waefeso 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake

2) Je, watoto wanapewa malezi yanayostahili na mama yao ambaye ni mfanyakazi?

3) Ni aina gani ya wanandoa, katika karne hii ya TEHAMA, wanatimiza wajibu wao wa mme/mke? Imeandikwa Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

Nawasilisha.
Hayo majukumu ya mke yapo too theoretical ....hakuna wa aina hiyo kizazi hiki mkuu
 
Unajua nmegindua kina dada wako na mda mwingi kuliko wanaume hii inawafanya wakae sana kwny mitandao

N nadra sana kukuta dada ambae n mshamba kipindi hiki, wanajua vitu vingi sana na hapo ndo pembe huota.

Hii inakuwa ngumu sana kukontrol maisha ya kila siku jumlisha midomo yao ndo kabsa.

Mama angu huwa anasema vijana mna kazi sana kupata wake kipindi hiki.
Usipojua nafasi ambayo Mungu kakupa na jinsi ya kuitumikia nafasi hiyo kwa Upendo ukiwa kama Mwanaume utapata tabu sana.
 
Hivi karibuni mahusiano ya me na ke, hasa wanandoa yamekuwa si ya mapenzi bali ugomvi/ghasia tu (domestic violence). Mimi si mtaalamu wa saikolojia lakini umri wangu na kuwa nimeshuhudia hayo kwenye ndugu na marafiki zangu, naona ni busara kuliweka hapa tujadiliane.

Kabla ya kutoa mtazamo wangu kuhusu mada, naomba uvumilivu wenu kueleza machache kuhusu nafasi ya mwanamke katika familia, na jamii kwa ujumla.

Wanawake ndio watunzaji wa msingi wa watoto na wazee katika kila nchi. Utafiti wa kimataifa unaonyesha kwamba wakati mabadiliko ys kiuchumi na kisiasa, wanawake wanaongoza katika kusaidia familia kujirekebisha na hali mpya na changamoto.

Kama binti, mwanamke ni jadi yake kuwajibika kwa kutunza wazazi wake. Kama mke, anatarajiwa kumtumikia mume wake, kutayarisha chakula, mavazi na mahitaji mengine binafsi. Kama mama, anapaswa kutunza watoto na mahitaji yao, ikiwa ni pamoja na elimu.

Mke wa nyumbani (pia anajulikana kama mfanyakazi wa nyumbani) ni mwanamke ambaye kazi yake ni kutunza au kusimamia nyumba ya familia yake, kama:
√ kutunza watoto wake;
√ kununua, kupika, na kuweka chakula kwa ajili ya familia;
√ kununua bidhaa ambazo familia inahitaji kwa ajili ya maisha ya kila siku; na
√ kuangalia nyumba, kusafisha na kuitunza.

Ili mjadala uwe na uhai, naweka maswali ya msingi ya kujiuliza.

1. Je, mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiteknolojia, ni nini nafasi ya mwanamke nyumbani na katika jamii? Ikizingatiwa, kwa imani ya Kikristu, kwamba imeandikwa Waefeso 5:31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja.. Kutimiza hilo hitaji la msingi, imeandikwa.
√ Waefeso 5:22 Enyi wake, watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu.; na
√ Waefeso 5:25 Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake

2) Je, watoto wanapewa malezi yanayostahili na mama yao ambaye ni mfanyakazi?

3) Ni aina gani ya wanandoa, katika karne hii ya TEHAMA, wanatimiza wajibu wao wa mme/mke? Imeandikwa Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

Nawasilisha.
Mbaya sana kufakamia ndoa bila kumuhusisha aliyeiumba.
 
Back
Top Bottom