Nyimbo 10 bora za kuwasindikiza mnapokuwa faraghani

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,773
5,322
Kwa sauti ya kawaida sana isiyobughudhi sikiliza ngoma hizi kumi mnapokuwa mnafanya mapenzi.

#10 Bump ‘N’ Grind – R. Kelly
#9 Doin’ It – LL Cool J
#8 I Wanna Sex You Up – Color Me Bad
#7 Freakin You – Jodeci
#6 Pony – Ginuwine
5. Sexual Healing – Marvin Gaye
5. Sexual Healing – Marvin Gaye
3. Sex Machine – James Brown
2. G-Spot – Wayne Marshall
1. Let’s Get it On – Marvin Gaye

ANGALIZO. Kizazi cha akina "simba" na wenzake hamtazijua hizi
 
Ninayoipenda mimi ni,
Gheto - SholO Mwamba,

"shika ukutaaa mwanangu , mwendo wa singeli,
Shiika chini. Mwanangu mwendo wa singeli..

Hakuna chura tenaaa. Siku hizi kifo cha mende, hakuna chura tena dadaaa, siku hizi kifo cha mendeee
 
Ni matusi kwa vijana wanaofanya bila kubarikiwa yaani Ndoa.

Lakini kwa walio ndani ya ndoa ni tendo la baraka.
 
Back
Top Bottom