TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,799
- 8,487
Mada yangu Ni :- Tabia ya mwanamke kupekua simu ya mume.
Naam WAJUMBE nimekumbwa na hiii kadhia ya kukaguliwa simu na Shemeji yenu wiki 3 mfululizo na anakuta majanga (sms za michepuko katika hali ya kujisahau bla kufuta sms na call log za michepuko).
Kiukweli hadi sasa furaha imetoka kwa mke wangu, naombeni ushauri juu ya namna ya kuithibiti simu yangu isikutwe na vimeo hasa msaada wa Program za siri za kuficha SMS na call log za michepuko maana sometimes inashindikana kutokana na desturi yangu.
(Wanaume hapa nadhani tunaelewana)
Nahitaji hapa za kuchat private