Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tarehe 1 Disemba 2020 timu yetu ilipokelewa kwa bashasha na mabinti watatu kutoka shule ya Sekondari ya Nyikoboko mkoani Shinyanga. Mabinti hawa kwa majina yao ni Mengi Daudi, Helena Joseph pamoja...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
Jamani naombeni mnisaidie, kuna mtoto wa baba mdogo kaja kupiga field sasa anakaa kwetu wote ni wana chuo lakini tupo vyuo tofauti na tupo kada ya afya na wote tupo upande wa Pharmacy wao kwa muda...
9 Reactions
152 Replies
26K Views
Demu alinivutia, nikamtokea akanitolea nje akisema ana mpenzi wake na anampenda sana. Kiufupi hawezi kumcheat na hawezi pia kunifanya mie mpango wake wa kando. Nikawa mpole, nikajikata kiaina...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari zenu wana mmu! Naomba kujulishwa aina hii ya wanawake wenye tabia za kiume, inakuwaje mpaka wanakuwa na hizi tabia zinazofanana na za kiume? Wao katika maongezi, mavazi, mitembeo yao...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
eti,naomba kuwauliza. katika mahusiano,inachukua how long toka kuanza kununiana na mpenzi wako mpaka kuanza kusemeshana tena? Maana naona week ya pili inakatika sasa na hakuna mwenye dalili ya...
5 Reactions
91 Replies
13K Views
Wengi hupenda kutumia jina la misambwanda kwa wanawake wenye makalio makubwa Ni wanawake ambao wakipita sehemu hasa vijiweni lazima waache gumzo kuhusu ukubwa wa misambwanda yao Ila utafiti...
6 Reactions
51 Replies
18K Views
Happy new December 2020 month, Niende kwenye mada moja kwa moja, unakuta mwanaume umekuatana na mwanamke mahali popote hata kama ni Jamii Forums, pale tu unapoanza kuwasiliana nae na kuonesha nia...
13 Reactions
85 Replies
8K Views
Salam kwenu jukwaani.Mimi ni mwanamke wa miaka 32,nina mtoto mmoja na Sijawahi kuolewa.Nimejitokeza nikiwa na dhumuni thabiti la kupata mwenza. Ninahitaji mwanaume mwenye sifa zifuatazo Awe...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Natumaini wote ni wazima wana JF, Mimi ni moja kati ya wanaume ambao na uwezo wa ku-control hisia zangu. Ninauwezo wa kukaa na mwanamke/msichana kwa zaidi ya mwezi bila kufanya mapenzi mpaka pale...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Daa leo nusu nusu niumbuke kwa bi mdashi mmoja hivi mweupe pee mwenye trakoo na pesa zake za kuzugia hapa mjini, Picha linaanza hivi bi mkubwa nilikuwa nammendea ila kumwambia ndio nilikuwa...
14 Reactions
27 Replies
4K Views
Utakuta ni kijana rijali shababi ana future nzuri ameweka misingi bora kwa ajili yake na familia yake lakini anakuja kukosea kwa kuoa mke wa mtu na kuishi na familia ya mwanaume mwingne Maandiko...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Hadi kufikia siku ya jana nimehudhuria harusi 6 ndani ya mwaka huu, kitu kilichonishangaza na kunifanya nije na mada hapa ndani ya hizo 6 nimeshuhudia harusi 5 bibi harusi yuko ndani ya shela na...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi. wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na...
3 Reactions
135 Replies
13K Views
Kwa kweli sijui niwalaumu hawa wamiliki wa TV Stations au sijui nifanyeje! Ninapokuwa home vita ni kali sana mpaka tunanuniana. Kwa akili ya remote. Wife yeye hachoki kuangalia Tamthilia mimi...
4 Reactions
133 Replies
11K Views
Kuna msg imeingia kwenye simu ya mke wangu ikitoka kwa wifi yake (mke wa mdogo wake) . Clearly ni ya mapenzi akisema wataonana na bla bla zingine; na leo kweli ameamka anasafiri kwenda mjini? Msg...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Love is a beautiful thing indeed, when it hits a right spot it makes a person glow and glitter with happiness, maneno huwa matamu namna hii. Lets make our patners happy wandugu. []
17 Reactions
87 Replies
11K Views
Hii sio nyingine bali ni kurudiana na Ex girlfriend mliochana kwa kipindi kifupi ama kirefu na asilimia karibia zote za wapenzi waliorudiana mara nyingi yanaishia vibaya zaidi ya mwanzo. Kwangu...
15 Reactions
73 Replies
6K Views
Mazee embu tupeni story kama mlishawahi kukutana na swala tajwa hapo juu...
6 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau niambieni ukweli Hivi kosa kubwa ni lipi hapa? Mfano, unataka umjue vizuri bebe wako pindi àkikasirika anareact Veep au ndo mzee wa kupiga mke / mume ndani ya nyumba n.k Ukimwambia...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom