Wanawake mtujibu leo, kwanini mnatembea na mafuta ya mgando kwenye pochi zenu?

Babumawe

JF-Expert Member
Sep 12, 2014
2,556
2,559
Hii kitu naona imekuwa too much sana hasahasa siku za hivi karibuni yaani ukifungua pochi za wadada watatu wa mjini hapa basi wawili lazima kwenye pochi zao utakuta wameweka mafuta ya mgando yaani lile wese haswaaa.

Tunaomba kujua kazi ya hilo weseee mana vitu vingine mnavyobeba kwenye hayo mapochi yenu tunajua kazi zake kama hizo lipostiki, mijipafyumu hiyo na vinginevyo.

Nimemaliza!
 
Mkuu ukiwaona tena waulize ili siku nyingine uje na thread ya kwa nini wanatembea nayo.
 
Kubeba pafyumu, lipstick, poda, wanja, chanuo hushangai

Ila mafuta ya kujipaka unauliza matumizi yake, kwakuwa tu huwa yanakazi nyingine.

Pole sana kijana wewe.

Mafuta huwa wanapaka, mikononi na miguuni
Miguu ipi
 
2621203_FB_IMG_16034804695981456.jpg
 
Back
Top Bottom