Tomboys: Naomba kuifahamu aina hii ya wanawake

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Habari zenu wana mmu!

Naomba kujulishwa aina hii ya wanawake wenye tabia za kiume, inakuwaje mpaka wanakuwa na hizi tabia zinazofanana na za kiume?

Wao katika maongezi, mavazi, mitembeo yao, stori zao za kila siku na hata kampani zao kuu hasa ni za kiume kwa sana!!

Je sababu kuu huwa ni ipi mpaka wawe hivi?

Je, kule kunako 6*6 wao wanabehave vipi?

Naomba niwafahamu hasa hawa wanawake-wanaume kiundani zaidi!
 

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Ni wasichana wasiopenda uke uke = umbea umbea na kuzodoana kijinga jinga! Si unajua asilia kubwa ya ke wanapenda kuchunguzana kiundani kama wewe unavyotaka kujua sifa yao ambayo haitakusaidia lolote!!!
...
Sita kwa sita niwatam sanaaaa, coz sio wavivu!
 

byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
naungana na wewe mashaxizo.wanawake wa aina hii hawapendi kujihusisha na mamba ya kijinga wanayo fanya wanawake mfano.umbea.majungu.kumfatilia mtu.aukupigizana kelele mtaani bila sababu.nakuwekeana taarabu au kanga zenye majungu.wanakuwa bize na mambo yao....ila kulea mpz wako bomba mbaya....
 

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
2,157
2,000
kuna mmoja tulisoma nae chuo... alikuaga tomboy hivo hivo, jeans, allstar, bukta ndo mapigo yake.. ila akati tunamaliza alianza kutilia swagger za kike... sometym wengine wanaigiza tu. But pamoja na hayo wana mvuto flani hiv
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Ni wasichana wasiopenda uke uke = umbea umbea na kuzodoana kijinga jinga! Si unajua asilia kubwa ya ke wanapenda kuchunguzana kiundani kama wewe unavyotaka kujua sifa yao ambayo haitakusaidia lolote!!!
...
Sita kwa sita niwatam sanaaaa, coz sio wavivu!

watoto wa uswahilini utawajua tu!!

huwezi kutofautisha yupi mwanamke, yupi mwanaume!!

wote vidole juu!!

haya bana lala salama!
 

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
Tatizo lao usipowasulubu vizuri, lazima wakusulubu wewe

hahahaaaa!! inawezekana kweli Mchumba we? mi jinsi tu watembeavyo na wanavyoongea, huwa nakosa imani nao kabisa!

halafu unakuta mtoto wa kike anakuangalia usoni ti kama nini sijui... mmh, no shy!
 
Last edited by a moderator:

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
18,932
2,000
kuna mmoja tulisoma nae chuo... alikuaga tomboy hivo hivo, jeans, allstar, bukta ndo mapigo yake.. ila akati tunamaliza alianza kutilia swagger za kike... sometym wengine wanaigiza tu. But pamoja na hayo wana mvuto flani hiv

wasiwasi wangu ni kitandani! sijui wanafunction vipi kule?

hivi wanarembuaga kweli?
 

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,155
2,000
ni nature tu maswala ya ki'baiolojia ila wengne wanaathiriwa na mazingird na wengine wanaiga au kuigiza tu
 

ChickMagnet

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
1,870
2,000
Mimi nawachukia kwa kweli! Yani natamani kutapika....wewe umeumbwa mwanamke why ubehave kiume ume? Mwanamke uwe raini raini bhana
 

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
2,008
2,000
Usiombe ukadate na tom boy yaan pasua vichwa, nlikuwa naye mmoja miezi 2 ilopita nikanyoosha mikono nikamtema. Yaan aagongwa ovyo usivodikiria
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom