Kijana unaanzaje kuishi na familia ya mtu

Atomic orbital

JF-Expert Member
Sep 27, 2020
369
473
Utakuta ni kijana rijali shababi ana future nzuri ameweka misingi bora kwa ajili yake na familia yake lakini anakuja kukosea kwa kuoa mke wa mtu na kuishi na familia ya mwanaume mwingne

Maandiko matakatifu yanasema dhambi inayoweza kupelekea ndoa kuvunjika ni uzinzi tu na hii ni pale ambapo mke au Mme atatoka nje ya ndoa na kama mwanaume atamuacha mkewe ilihali mke hajafany zinaa basi mwanamke huyo akiolewa na Mwanaume mwingne ndoa hyo haitakuwa imepata kibali machoni pa bwana Bali itakuwa zinaa

Vijana ya nini kuchukua familia za watu tengeneza yako ya kwako peke yako achana na wanawake wenye watoto hao ni wake za watu
 
Na waliozalishwa na waume za watu je? Hao wanawake wanakuwa wake wa waume za watu?
 
1.Aliondoa FAO la kujitoa, Sasa watu wanateseka
2.Alipora Bureau De Change
3.Akawanyima wana kagera Hela ya tetemeko iliyochangwa na wazalendo
4.Akawanyima wafanyakazi haki zao walizofanya kazi kwa kisingizio cha Watumishi hewa
5.Akaongeza makato ya Loans Board.

Na bima ya Afya sasa wametoa dawa muhimu wakati michango tayari walishachukua na wanaendelea kukusanya michango lakini huduma ndio kwanza inazidi kuwa mbovu je huo sio wizi?
 
Acha ushenzi we mtoto..maisha ya mahusiano hayana fomula kila mtu aishi kwa kile kinacho mpendeza..usiwapangie watu maisha.

Ushauri fanya katafute kazi acha kuishi kwa shemeji yako.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mimi nimetoa ushauri kwa vijana wasichukuwe wake za watu ili kuepuka zinaa wew kama haikupendezi ni sawa ni mtazamo wako haina haja ya kutukan Mimi sijatukana mkuu kuwa na utu
 
Back
Top Bottom