Ulishawahi kuchat na mume/boyfriend wa mchepuko wako

Author

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
1,709
8,007
Mazee embu tupeni story kama mlishawahi kukutana na swala tajwa hapo juu...
IMG-20200710-WA0017.jpg
 
Ilshawahi kumkuta jamaa yangu, amechati na mume wa mchepuko wake mpaka wakapanga na sehemu ya kukutana. Jamaa likamwambia "kule ambako huwa tunakutana mume wangu amepashtukia hivyo tubadilishe mahali pa kukutana. Kuna wambea wamempalekea habari"...Jamaa alipofika maeneo akagundua ni jamaa linamsubiri anasema alikimbia hajawahi kimbia vile tangu azaliwe...Anasema anashukuru jamaa hakupiga kelele za mwizi.
 
Back
Top Bottom