Hii ndio tabia iliyonishinda kwenye mahusiano maisha yangu yote

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Hii sio nyingine bali ni kurudiana na Ex girlfriend mliochana kwa kipindi kifupi ama kirefu na asilimia karibia zote za wapenzi waliorudiana mara nyingi yanaishia vibaya zaidi ya mwanzo. Kwangu mimi ni udhaifu mkubwa sana kurudiana na Ex kwa namna yeyote ile ukiachwa vuta pumzi move on!

Nashangaa sana Ex Girlfriend anang’ang’ania tuwe marafiki ili iweje tujadili katiba?ama muungano?

Tukiachana kila mmoja awe focus na maisha yake bila kujenga uadui,urafiki wa kinafki etc!
 
Tunaishi nao tuu
kuna time inafika kil moja a separate ili kujua vingi zaid
wengine hurud wakiwa waisha jifunza hivyo haina shida yyt sema akili kubwa na asikukute km alivyo kuacha jarbu kidgo kua wamoto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom