Huu mwenendo una maana gani jamani?

Huu mwenendo una maana gani jamani?

Museven

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2011
Posts
629
Reaction score
452
Demu alinivutia, nikamtokea akanitolea nje akisema ana mpenzi wake na anampenda sana. Kiufupi hawezi kumcheat na hawezi pia kunifanya mie mpango wake wa kando. Nikawa mpole, nikajikata kiaina.

Mara paaap!

Leo kanitext anaomba nimsaidie Tshs. 10,000 tu, amepungukiwa kwenye mishe zake. Mie nimemtumia kiroho safi tu na ameshukuru. Ila najiuliza, kama alinitolea nje, hataki mahusiano na mimi, kwanini ananipiga mzinga tena na mpenzi anaye?

Naomba mtazamo wenu wadau?
 
Mtazamo upi sasa. Kwamba anakudanga au?
 
Mkuu wakishajuaga tunawapenda huwa ni hivo wanageuza upendo wetu chanzo cha mapato

Ngoja watu wengine waje na mrejesho utaona.

Me nimeona sanaa hii.
 
Pull up in the sleigh, hop out like I'm Santa Claus

Niggas gather 'round, got gifts for each and all of y'all

Umekua buzi, atakuchuna mpaka ngozi
 
Mara paaap!!
Leo kanitext anaomba nimsaidie Tshs. 10,000 tu, amepungukiwa kwenye mishe zake. Mie nimemtumia kiroho safi tu na ameshukuru. Ila najiuliza, kama alinitolea nje, hataki mahusiano na mimi, kwanini ananipiga mzinga tena na mpenzi anaye?
Don't take it wrong, kakuomba kama kakake tu jombaa, na shemeji yako, yaani boyfriend wa huyo dadako, mambo yake hayakuwa level kwa wakati husika!
 
Hapo umemsaidia kama mtanzania mwenzio tu.nothing else
Au unataka tuanze kupiga ramli kubahatisha kama anakutaka au hakutaki?
 
Because you are a SIMP , and that, is exactly how SIMP are treated.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom