Dada, unapotaka pesa jua inakuja na absence!

Dada, unapotaka pesa jua inakuja na absence!

Queen V

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
785
Reaction score
1,368
Helloww,

I hope your Christmas went well, mine is amazing!

Katika kufanya fanya tathmini ya maisha kama tufanyavyo mwisho wa mwaka, nikapata mwanga katika jambo moja linalonitatiza sana.

Niwe mkweli, huwa NAKERWA na kitabia cha babe wangu kuchelewa kurudi home. Hapa nazungumzia saa 5,6,7. Ni chanzo cha 99% ya manuno yangu.

Pia huwa nakerwa na kutokuwepo kwake hata weekends. Yani huu mwaka mzima siwezi taja siku 10 mi na yeye tumekuwa pamoja all day, lazima atoke. Si kwamba sijui aendapo, tena anaweza kusuggest twende wote ila huwa nakataa. Napenda kupumzika weekends.

Sasa katika ku-list vitu vinavyonikera kwa huyu kijana hilo likawa namba 1. Lakini nikafikiri kwa kina, anafanya hayo yote kwa ajili yetu na sio kwamba sioni faida. Ukweli tunapoomba Mungu atupe wenye uwezo kifedha tunafikiriaga Bill Gates ambaye tayari ameshainvest, ameshakuza biashara, sasa anaweza tu kukaa na Melinda kwenye beach house yao huku akipewa ripoti ya issues zake. Wako wangapi wa level hiyo, walio single?

Uhalisia ni kuwa ukimpata mwenye ndoto kubwa ambaye anataka kufika sehemu flani, jua tu muda utakuwa changamoto. Anaweza kukupa muda ila sio vile utakavyo. Wewe mpe ufunguo wake asikuamshe akirudi ila elewa, muombee na mara moja moja fanya ziara za kushtukiza huko anakokuwa muda wote huo.

Tusidanganyike na hawa wanaofanya madili ya paap milioni 50 kisha anakaa tu na babe kwenye kochi hadi lije lingine. Wengi ni hawa ambao wanajijenga, wanakuza biashara, wanaenda kazini na kisha kwenye miradi binafsi.

PS: Wanaume, msitumie huu kama mwanya wa maovu. Absence yako iwe directly proportional to income generated.

Tuwe na wakati mwema.
 
you said it well,
Unajikuta unamnunia babe, halafu unakuja kupatwa na aibu baada ya kugundua kumbe yupo busy site huko kaloa zake matope..!

Na uzuri usisahau hizo nguo zinakusubiri kufua..!😕
 
Nyinyi viumbe mnahitaji maombi..
Unanuna mtu kwenda kutafuta hela
Unanuna mtu akichelewa kujibu SMS
Unanuna mtu asipopokea simu huku unajua kabisa Yuko too busy..

Wanaume wanahitaji 'PEACE' ..
Sometimes tunatafuta ubize hadi weekends
Kuipata hiyo 'PEACE' huko kazini..

Hata tukishinda majumbani ni kutwa kujibu maelezo ...kila SMS tuueleze nani..
Mdada wa ofisi akipiga .tutoe maelezo..

Bora kuwa busy hata kama busy for nothing
Mradi peace inapatikana
 
Akhsante Mwenyekiti.
 
Hapa ndugu mwenyekiti umefunga topiki
 
Paragraph ya 4 kutoka mwishoni mwa uzi wako, mstari wa mwisho kwenye aya inayoanza na "Uhalisia…" umefunga mwaka!
 
Nyinyi viumbe mnahitaji maombi..
Unanuna mtu kwenda kutafuta hela
Unanuna mtu akichelewa kujibu SMS
Unanuna mtu asipopokea simu huku unajua kabisa Yuko too busy..

Wanaume wanahitaji 'PEACE' ..
Sometimes tunatafuta ubize hadi weekends
Kuipata hiyo 'PEACE' huko kazini..

Hata tukishinda majumbani ni kutwa kujibu maelezo ...kila SMS tuueleze nani..
Mdada wa ofisi akipiga .tutoe maelezo..

Bora kuwa busy hata kama busy for nothing
Mradi peace inapatikana

Ndio ubinaadamu, ndivyo wanawake tulivyo. Unajua huwa nacheka sana wanaume mnavyoshindwa kuvumilia vitabia vyetu ambavyo wala sio vya serious, ila tabia zenu zinazoleta hadi maafa kwenye familia mnategemea tuzivumilie kabisa tena na midomo tufunge.

Acha mentality ya lawama na ushindani, utaenjoy sana especially kwenye mapenzi.
 
Tabia ngumu Sana kuvumilia Sisi ni controling
Ukiona kama mtu anaku control hatuwezi pata peace..

Ile simu uliweza ifungua?Ilikuwaje?
 
Tabia ngumu Sana kuvumilia Sisi ni controling
Ukiona kama mtu anaku control hatuwezi pata peace..

Ile simu uliweza ifungua?Ilikuwaje?

Mbona nilitoa feedback kulekule. Yamekuzidi hadi unafukua mizimu?

Zingatia ushauri wangu.
 
hizi ni tabia sugu kwa ke wengi, leo nikirudi home nitampa yf asome bandiko hili ili ajifunze kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom