Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Inawezekana vipi mimba ikawa yangu?

Guacamole

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2019
Posts
6,125
Reaction score
16,199
One month ago, nilidate na binti mmoja hivi..

When we met, alikuwa ndio kamaliza menstrual period yake.. yaani tuseme kamaliza jana halafu leo ndio kachezea mshedede. Na wakati namaliza show, kilitoka kibaki cha damu iliyoganda kuonyesha kuwa ni kweli menstrual ilikuwa imeisha.
Even before sijaomba game, alinambia nivute subira mpaka atakapomaliza period yake.

Leo baada ya mwezi mmoja, anakuja kunambia ana mimba yangu

How can it be possible??

Kwamba kapata mimba baada ya menstrual? Kwamba siku zake za hatari zilikuwa karibu? Kwamba one month amekaa na mimba bila ya kunambia?

Na maswali mengine mengi.

Nikimuuliza kama alitoka na mtu before, anakataa!

Hivi huyu mwanamke yupo sawa kweli? Atamueleza mwanaume gani hilo suala akamuelewa?
 
Si ulipiga kavu mkuu so alikutegea siku ya kupata mimba,wee lea tu hyo mimba
 
Kitanda hakizai kharamu shekhe! Kwani ukimlea kuna tatizo gani mbona vidume wengine wanalea wakwako? 😄😄
 
ndio keshasema ana mimba sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Sisi tukikuambia hana haibadirishi kitu
 
ndio keshasema ana mimba sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata Sisi tukikuambia hana haibadirishi kitu

Ndo amtafute mwenye mimba yake.. wanawake wa siku hizi wanatuona sisi ni wajinga sana, wakati elimu tunayo tele!
 
Inawezekana kwa kuwa ulichomeka rungu kwenye kitumbua[emoji12]
 
Lea mtoto usimtelekeze usije kuwa kama baba ake diamond platinum anavyo tia huruma.

Kama unawaza Dhambi ya kuua njoo nikupe Misoprostol, ila tz hamna kiwanda chake
 
Hiyo mimba sio ya kwako haiwezekani baada ya mp eti ovulation ikatokea, kilichopo hapo ni kwamba alichepuka kwenye siku zake za hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom