MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,958
Jamaa alioa mke ambaye tayari alikuwa na boma la vyumba viwili.Akasaidiana na mkewe wakaezeka na kufanya finishing pamoja na kuongeza chumba mabanda nje.Walipohamia jamaa akampatia mke kitanda,tv nk.
Sasa wameachana msela anataka kuchukua vitu vyake na kung'oa bati kufidia gharama zake.
Hawana mtoto ndoa ilikuwa changa miaka miwili.
Kuchukua mali hizo ni ushamba.
Sasa wameachana msela anataka kuchukua vitu vyake na kung'oa bati kufidia gharama zake.
Hawana mtoto ndoa ilikuwa changa miaka miwili.
Kuchukua mali hizo ni ushamba.