Kama ulishawahi kufumaniwa na mke/mume tupeane uzoefu

ellyrehema

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
1,199
989
Nimeona nitoe huu uzi, maana wanandoa wengi wanachepuka sana. Kama wewe ulishawahi kufumaniwa laiv, ama sms kwenye simu ama audio zilizorekodi maongezi yako na mchepuko, ama vyovyote vile. Ili mradi tu ilileta tafran na majuto kwenye uhusiano wako. Just funguka ya moyoni ushare na wenzako
 
Haya mambo hayana uzoefu.
Siku utakapo mkuta Mkeo na njemba huo uzoefu wote ulioupata kupitia jf uausahau kabisa
 
jamna kama uzi mnavyo uwona na namlivyo uwelewa,,, kula mtu aseme kipi bora,, duuurkwa mimi bora nifumanie. japo mapigo ya moyo lazima ya change
 
Sijawahi kufumania wala kufumania ila hakuna chaubora hapo vyote vinaumiza sana
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom