Nyie wenzangu huwa mnaombaje naniliu?

msakhara

JF-Expert Member
May 26, 2019
270
369
Habari

Sex ni miongoni mwa tendo lenye nguvu sana kijamii watu huwa wanafanya vitu vya ajabu ili tu kupata huduma hiyo. Wapo wanaotoa hela straight ili kupata, wanotoa chipsi, wanaotoa nyumba ili kujihakikishia. Pamoja na yote hayo

Hivi huwa mnaombaje(unamwambiaje) mwanamke ambaye si mkeo kuwa unataka mkahudumiane? Bila kumfanya ajiskie offended
 
Back
Top Bottom