Session ya Ala za roho(chumba cha mahabara)

Session ya Ala za roho(chumba cha mahabara)

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Nimetoka kusikiza hii session muda sio mrefu(Clouds fm)

Huyu mdau aliyetaka kupima mahusiano yake baada ya girlfriend wake kuonesha mabadiliko ya kitabia sijui atalala vipi leo[emoji23]
 
Mmekuwa kama matahira sasa
yaani wamekuwa watumwa hasa, imefikia pahala they can't think of anything else, kufuata mkumbo ni tatizo sana, ndiyo ile mnaiga jibu darasa zima kwa genius wa class imagine ni matching items, halafu na yeye siku hiyo kapoteana kajaza 'No Answer' na wao wamejaza the same..!!
 
Nilianza kukisikiliza hicho kipindi kile wakati more J anafanya kama sub presenter kama Diva akiwa ayupo, nilichokuja kugundua ni uzwa zwa mtu kwenye sension,....
Sio kwamba ni ubunifu mzuri?
 
yaani wamekuwa watumwa hasa, imefikia pahala they can't think of anything else, kufuata mkumbo ni tatizo sana, ndiyo ile mnaiga jibu darasa zima kwa genius wa class imagine ni matching items, halafu na yeye siku hiyo kapoteana kajaza 'No Answer' na wao wamejaza the same..!!

Umeona hicho alichokiandika mleta thread siyo cha utaahira?

Unaandikaje kama vile tumesikiliza wote hicho kipindi?
 
Back
Top Bottom