Hatimaye uhusiano unaendakuisha

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Kuna shemej yenu mmoja ambaye nipo naye muda kidogo. kiukwel nimepitia mahusiano meng..kiufup zile achana achana nmepitia za kutosha mpaka moyo wangu umekua kama chuma.

Huyu bint toka nimekua nae yeye akili yake ni kwamba mim nimuoe ila kiukwel mim sjawai muwazia kabisaaa

Yaan mim nipo nae tu na enjoy company yake etc tatzo langu mimi treatment yangu kwa mwanamke huwa ni ile ile hata kama sina mipango nae huwa namtreat kama nina mipango nae.

Siku zote bint anataka a move in..mim nakwepa..kumtambulisha to friends ndugu etc namkwepa sanaa..anataka pia tuzae mi sababu kibao kiufupi binti amejitoa 100%..na ni mda mref kdogo kama 2yrs hivi sasa.

Nachompendea tu huyu bint ni kwamba..amenipenda..bint akikupenda kwasis wakongwe tunajua..so sihitaj kueleza sana

Kanifumania sana msg etc..lakin yupo tu
Tatzo lilipo huyu bint mim siwez muoa hata iweje na nina sabab zangu nying tu..
Infact huyu dem nae ana stor yake yaan amekwepa mishale ming pia...
Shez kinda girl ambae ni freesoul..ana tatoo nin mrembo.mnyamwez yan..yaan dem ambae alikua kicheche nw ametulia..madem wa malaysia wale.wabongo waliosoma malaysia..micharuko..mshaelewa

So..kwa alivyo tu.yaan nawazaga hv with tht look namtambulishaje home.sbaab si hyo tu zipo nying.

Kufupisha;.
Niliwai jisahau sku1 nkamwambia wee bwana tafta mtu mwingne.hyo mitatoo yako nakupeleka wap.(nilikua nimelewa)

Dem alilia sana..huyu dem ananipenda kiukwel....sasa juzi kanichana kwamba ujue napoleone mi nakupenda snaa ila huna dalil ya kuwa namim...najua hutonioa najua

Dah nilijiskia vbaya snaa..nkazuga zuga tuu
Sasa..katika harakat za hapa na pale niliwai mwambia kuwa mi najua utakua na mtu pemben na sikulaum sbaab umeona mim sina future nawew...na najua una strugle sana na huyo mtu...najua hilo...amekataa kuwa hana na amelia sana kwamba namtaftia sabab nimwache..

Sasa mi mkongwe najua yupo tu mwana ambae anachunwa huko..huyu dem ananunuaga mazaga hapa kwangu na mazawad had najiuliza anapata wap hela za kuchezea hvo...

So tupo kwenye situation hyo na huy bint
Mi nmeshkuru kwamba angalau ameconfirm kuwa sitokuja kumuoa na kwamba ipo siku ntamuacha maana ndo kutu kilikua kinaniuma sana.kumwcha huyu bint.sabab najua ananipenda sana

Yaan nmesema hata nikija mwacha huyu lazima awe close namim..yuko loyal sana kwangu yaan naweza hata mwachia hela au account zangu akazitunza..very loyal
Nampango kabla sjamuacha nimfungulie mradi/biashara kamaa njia ya ku ji cleans

Ila sasa ndo hvo kumuoa siwez..hayuko moyon nitamtesa tu..na enjoy tu company yake
Uzi tayar(nmeona nishee na wadau)
 
Sijaelewa unahitaji nini? Ushauri au watupa story ya maisha yako ambayo nyie ndio mnaowafanya baadhi ya wanaume kuonekana machokoraa?

Hivi unawezaje kuwa na mtu na huna future yeyote kuhusu yeye yaani unakaa naye tu?

Ningepata bastola ningekulipua
Dunia ina mengi chifu .ukikua utayakuta
 
Sijaelewa unahitaji nini? Ushauri au watupa story ya maisha yako ambayo nyie ndio mnaowafanya baadhi ya wanaume kuonekana machokoraa?

Hivi unawezaje kuwa na mtu na huna future yeyote kuhusu yeye yaani unakaa naye tu?

Ningepata bastola ningekulipua
Tulia wew
 
Hakuna muoaji hapa...especially ukiwa na zile za kujishtukia shtukia na kukwepa ile full time commitiment
Hapana ni kwamba hayupo moyon..mi nimewai kupenda mara 1 tu. Alikua dem wangu wa kwanza...ndo bas..
 
Kama shida ni tatoo mbona zinafutwa?

Huyo mko nae Malaysia?We ndo umfungulie biashara?..au sijaelewa?...

Kuna period ya kuchagua lazima uringe
Na kuna period ya kuchaguliwa hapo ndo kazi ipo..
 
Unajua usichanganywe na muonekano,hujui Mungu anapanga nini mbele,unaweza ukaja ukajuta sana na utakuwa ushachelewa.... all in all usije ukafanya jambo ambalo baadae ukaja ukajutia!! unaweza ukampata "huyo"ambae unamuwaza akawa mateso kwako ukajuta
 
Back
Top Bottom