Wale wazee wa kuchepuka nipeni maujanja naingia kwenye chama rasmi

dumbi

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
989
1,523
Kutokana na changamoto za kwenye ndoa yangu sitoziweka hapa, nimeamua kutafuta mchepuko . Shida ilonifanya niwaulize wazoefu je huwa mchepuko unamwambia kama umeoa au unakausha kwanza, manake kuna mtoto nilikuwa nimemseti kajaa fresh tukawa tunachat chat ila ikifika saa 2 au 3 siwezi tena kupiga simu hiyo hali ikampa mashaka, siku akaniuliza kama nimeoa nikakataa, sasa kakomalia jana nikaona nimchane kweli nimeoa kwahiyo kasema mimi na yeye basi, bado sijamgonga.

Mwingine yeye nae swali hilohilo huyu naogopa nisije kumwambia nae akanimwaga. Huyu anataka tuishi wote mradi nikajitambulishe tu kwa mama yake .

Sasa wale watalaam mnafanyeje fanyaje au mnaokota milupo ambayo haina cha kupoteza hata ukimwambia.
 
Kuwa na namba ya mchepuko kwenye simu ni HATARI kwa ndoa yako. Pita joint nyoosha kimoja kwa 5,000/- tena swafi unatumia na ndox kabisa. Ukimaliza biashara imeishia hapo. Hawa parmanent side chick ni rahisi kwako kuloweka au na yeye kuwa na mpenzi mwingine kwa saababu na wewe una mke.
 
Ni kosa kumuambia mwanamke ukweli kama haujamla

Kula Kwanza ndo useme ukweli hapo atachagua yeye aendelee au vipi

Wapo wengine hawana shida ili mradi umtimizie mahitaji yke
Dah kwahiyo huyu ndio nishamkosa naona hata msg zangu hajibu tena .
 
Kuishi na mchepuka unatakiwa kua REAL

Kuanzia kipato chako, ndoa yako na MDA wa kua nae.

Ukijifanya Kufake maisha,
Utajikuta Unaishi maisha ya wasiwasi Kama digidigi.

Uko na mchepuko,
SIMU inaita unatoka bafuni na POVU, kuhofia asije kua Ni wife

NB: Mwambie unamke ukiwa tayar umeshamchakata.
Trust me, hawez kukuacha kamwe.
1821591839.jpg
 
Kuwa na namba ya mchepuko kwenye simu ni HATARI kwa ndoa yako. Pita joint nyoosha kimoja kwa 5,000/- tena swafi unatumia na ndox kabisa. Ukimaliza biashara imeishia hapo. Hawa parmanent side chick ni rahisi kwako kuloweka au na yeye kuwa na mpenzi mwingine kwa saababu na wewe una mke.
Una mke nyumbani na unatomba malaya wa 5000..seriously?

Hapana aisee..hii ni kumkosea sana heshima mke wako
 
Back
Top Bottom